Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 446
- 982
We mbazi unalimia wapi mzee,Hiyo 2.5 mln kalime mbaazi utaongeza mtaji mkubwa zaidi wa uwakala wa simu na benki, utanishukuru baadaye
Kwa 2.5 mln anaweza kulima heka 10 hapo kukodi shamba, maandalizi, kupanda hadi kuvunaHahaha sawa Ila mbaazi .
Haya funguka Kwa kina .
Why mbaazi?
Tatizo vijana wa miaka hii mna dharau sana. Mtaji wa 2.5 mln kwa uwakala ni mtaji mdogo sana kama kweli yuko seriousWe mbazi unalimia wapi mzee,
Acha kumkatisha jamaa tamaa, anaweza kuanza nayo hiyo na akafikia kwenye huo mtaji wa uwakala wa benk kupitia huko kwenye simu.
2.5M ni ela ndefu sana asikuambie mtu, kama Nia na uvumilivu anao anaweza fika mbali tu
Watz wengi hasa sisi watumishi wa Umma tunakwama hapa.
Tunasubiri tukistafu ndio tunaanza kufanya zile kazi ambazo tulizidharau kama vile
1. Uwakala
2. Duka la mangi
3. Ufugaji wa kuku
4. Grosari na Bar
5. Vyumba vya kupangisha
6. Bodaboda za mkataba
7. Kilimo cha mapapai, tikiti na nyanya.
HIzi ni kazi ambazo waajiriwa 99% hawazipendi lakini wakikaribia kustafu au wakishastafu ndizo hukimbilia.
Sasa kwanini wasizifanye mapema wakiwa bado na nguvu?
Visingizio vinakuwa vingi, mara mtaji mara mu
Usifate ushauri wa mtu yoyote we unaonekana ni mgeni kwenye biashara acha uwoga biashara ni uvumilivu, maarifa, kuaguka na kuinuka kua tayari kujifunza na kama una uzoefu kbs anza kidogo usome mchezooHabari wakuu
Naombeni ushauri kwa wale ambao mna uzoefu na hii biashara
Nina mtaji wa 2.5M nilioukusanya kwa lengo la kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa kwa mitandao ya simu
Je nitafanikiwa kwa mtaji huo?
Biashara hii ina changamoto zipi?
Nizingatie mambo gani?
Mindset za watu mbovuNdiyo mkuu.... Kuna watu hawapajui kwa mganga na mambo yao yanaenda vzr, na wengine ndo hivyo
Kwahiyo bahati hazilingani mzee wangu 😂
UnatoboaHabari wakuu
Naombeni ushauri kwa wale ambao mna uzoefu na hii biashara
Nina mtaji wa 2.5M nilioukusanya kwa lengo la kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kutoa pesa kwa mitandao ya simu
Je nitafanikiwa kwa mtaji huo?
Biashara hii ina changamoto zipi?
Nizingatie mambo gani?
Naaam hakika woga ni mabaya sanaMindset za watu mbovu
Mim nilikua kila nikilala naona kama wachawi wanatak kuniwangiaa uwoga mbaya sana ile imagination ilinitesaa nikaja kugundua mim ndo mjinga 😀😀😀
Mkuu Mutuyakongo umeelezea vizuri sana, kwa niaba ya mleta mada niseme ahsante kwa maana hata mimi nimejifundisha kitu hapa.Kwa kuanza inatosha mkuu wangu,kwa popote ulipo.
Ninakusihi uwe mwangalifu kwa mambo yafuatayo.
1.Simu za kazi asiguse mteja kwa sababu yeyote ile.tapeli atajisave akushangaze
2.hakiki kias na jina la mteja mara nying zaid kabla ya kutuma.
3.unapokea cash ndio unatuma.
4.tofaut na namba 100 usipokee ama kufata maelekezo yyt.
5.kama huduma ya wakala mkuu ipo mbali usishindane na miamala,miamala mikubwa haina kamishen nzur na n kujichoresha.
6.Hesabu zinafungwa kila siku upate sawa na mtaji wako.
Tafuta na lipa namba zinasaidia sana kuboost mapato ya siku.
Vingnevyo ninakutakia kila la kheri mkuu wangu,Mungu akusimamie usikwame.
Nimeichukua hii,Thanks.Usifate ushauri wa mtu yoyote we unaonekana ni mgeni kwenye biashara acha uwoga biashara ni uvumilivu, maarifa, kuaguka na kuinuka kua tayari kujifunza na kama una uzoefu kbs anza kidogo usome mchezoo
ShukhraniUnatoboa
Usimwajiri MTU,Fanya mwenyewe
Usimsikilize MTU kwa simu zaidi ya namba 100.
Uwe makini na figures.
Nakushukuru sana nduguKwa kuanza inatosha mkuu wangu,kwa popote ulipo.
Ninakusihi uwe mwangalifu kwa mambo yafuatayo.
1.Simu za kazi asiguse mteja kwa sababu yeyote ile.tapeli atajisave akushangaze
2.hakiki kias na jina la mteja mara nying zaid kabla ya kutuma.
3.unapokea cash ndio unatuma.
4.tofaut na namba 100 usipokee ama kufata maelekezo yyt.
5.kama huduma ya wakala mkuu ipo mbali usishindane na miamala,miamala mikubwa haina kamishen nzur na n kujichoresha.
6.Hesabu zinafungwa kila siku upate sawa na mtaji wako.
Tafuta na lipa namba zinasaidia sana kuboost mapato ya siku.
Vingnevyo ninakutakia kila la kheri mkuu wangu,Mungu akusimamie usikwame.
Check your inbox mkuuKarbu sana mkuu wangu.
Unaweza kunitegemea wakati mwingine.
5 years of experience.
Kwa uwakala wa Bank, angalau uwe na shilingi ngapi pamoja na vigezo vingine?Kwa mitandao ya simu inatosha kabisa.
Kwa uwakala wa Benk n ndogo
Hivi hiyo avatar yako inahusu tukio gani?Unatoboa
Usimwajiri MTU,Fanya mwenyewe
Usimsikilize MTU kwa simu zaidi ya namba 100.
Uwe makini na figures.