GOD my watcher
JF-Expert Member
- Oct 9, 2019
- 298
- 271
- Thread starter
- #21
Siku moja moja na wewe unatoa mchango, maana kila uzi "ngoja waje kukupa mwongozo"
Ngoja waje kukupa muongozo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja waje kukupa muongozo...
Hakika... Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Siku moja moja na wewe unatoa mchango, maana kila uzi "ngoja waje kukupa mwongozo"
Hakika... Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Mkuu, dunia inabadilika kwa kasi sana..Heri kwenu sote wanajukwaa mlioalikwa kwenye uzi huu kama nilivyonena hapo juu.
mimi ni kijana nipo kuomba ushauri juu ya biashara ya kufungua duka la spear ya vitu vya kieletronics kama ambayo baadhi nmevitaja juu..pia ikumbukwe mimi ni fundi wa hivyo vitu.
Eneo nililopanga kufungua ni kahama au katoro pia kama kuna sehem nyingine yenye watu wengi ambayo haina mafundi nijuzeni.
pia kama unajua chimbo la spear hizo nambie.
Nakaribisha maoni na ushauri, vifaa vya ufundi vipo.
Mkuu, dunia inabadilika kwa kasi sana..
Vifaa hivi vya kielectronic siku hizi vinatengenezwa kwa mfumo wa kukunyima uwezo wa kutengeneza mwenyewe kama kikiharibika,
Sasa imefikia ikiharibika simu, tv na radio unatupa maana havitengenezeki, na ukijaribu kutengeneza ndio unaharibu kabisa na tunaona jinsi mafundi walivyokuwa na maisha magumu siku hizi ya kugombana na wateja wao kwa kushutumiwa kuharibu zaidi badala kutengeneza hivi vifaa....
Hitimisho na ushauri?
Mkuu Heshima Yako Maana Ulipotea Kwa Muda Na Hii Kauli Swali."flem" ndio mdudu gani?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kama unaenda China mwenyewe...inaweza kuwa inatosha
Lakini kanunue vitu kama accessories ya vifaa vya kielectronic kama macover ya simu, screen protector, headphones, chargers, adapters, speakers ndogo, na vinginevyo ambavyo unauuza tu sio kutafuta kesi na wananchi
Sasa huko katoro fremu si elfu kumi kumi tu3.5 M ? so flem tu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Shida yake atie comment tuh[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Siku moja moja na wewe unatoa mchango, maana kila uzi "ngoja waje kukupa mwongozo"
Naweza kuchangia mtaji wa M2 nambie upo tiari Kutoa share?katoro ni pazuri zaidi kwa hii shunghuli napafahamu vzr.
Mm siyo fundi ila nategemea kuelekezwa ufundi na wewe pindi tukianza biashara.Mkuu wewe ni fundi? na uko mkoa gani?
Mm siyo fundi ila nategemea kuelekezwa ufundi na wewe pindi tukianza biashara.
[emoji23][emoji23][emoji23] Shida yake atie comment tuh[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Siyo kweli, Biashara ni mtaji huwezi kuniambia 3.5 anaweza kufanya biashara itakayoonekana na kukamata soko kiivyo, kuujua ukubwa na umuhimu wa mtaji ingia kwanza kwenye Biashara ndiyo utajua biashara yako inahitaji fedha kiasi gani ili iweze kujiendesha.Mkuu uko wrong,Ukubwa wa mtaji sio ukubwa wa biashara.Biashara ni strategy.Unaenda katika eneo ambalo unajua biashara yako unaweza mkakati na unaanza mdogomdogo.
Unaenda kwa muuzaji wa jumla kwanza ili upate gharama za kununua na upange bei ya kuuza.Kisha unaweka mkakati wako wa mauzo kisha unakuwa tu na sample dukani then mtua anaagiza mzigo unapiga simu kwa muuzaji wa JUMLA kucheck kama mzigo upo unafanya biashara.KUWEKO STOCK kubwa dukani sio ukuwa wa biashara.Dukani ni showroom tu kwamba una huduma au bidhaa fulani.