Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 23,234 Reaction score 28,473 Jun 21, 2026 #21 Juani Island Chole Island Jibondo Island Bwejuu Island Shungumbili Island Barakuni Island Miewi Island Niororo Island Mafia/ Katika hivi kipi kimechangamka? Hivi vyote ni visiwa vyetu sisi wabara...
Juani Island Chole Island Jibondo Island Bwejuu Island Shungumbili Island Barakuni Island Miewi Island Niororo Island Mafia/ Katika hivi kipi kimechangamka? Hivi vyote ni visiwa vyetu sisi wabara...
Nyafwili JF-Expert Member Joined Nov 27, 2023 Posts 6,168 Reaction score 15,748 Jun 21, 2026 #22 emmarki said: Kwa mtaji wa 4,000,000 ni biashara gani inafaa kufanyika kisiwa cha Mafia. Mnipe muongozo Click to expand... Niliwahi kukaa pale Mafia, mwaka 1½, biashara za kufanya ili upige pesa. 1. Guest 2. Bar, 3. Uvivu ( mtaji 45 million - 250 million)
emmarki said: Kwa mtaji wa 4,000,000 ni biashara gani inafaa kufanyika kisiwa cha Mafia. Mnipe muongozo Click to expand... Niliwahi kukaa pale Mafia, mwaka 1½, biashara za kufanya ili upige pesa. 1. Guest 2. Bar, 3. Uvivu ( mtaji 45 million - 250 million)
Mnachihanguuu JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 6,406 Reaction score 9,830 Jun 22, 2026 #23 Bush Dokta said: Aendelee na hiyo hiyo Mishe uliyompa 4M Click to expand... Moja ya ushauri wa kipumbavu
Bush Dokta said: Aendelee na hiyo hiyo Mishe uliyompa 4M Click to expand... Moja ya ushauri wa kipumbavu