Kwa mtaji wa Tsh. Milioni 1.5 unaweza kufanya biashara gani ambayo kwa siku unaweza kuingiza faida ya Tsh. 20,000/-?

Wakuu,

Biashara gani ambayo inaweza kukuingizia faida ya Tsh. 20,000/- per day kwa hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa 1.5mil?

Binafsi nilifikiria nisajili laini za uwakala nifanye miamala ya simu but sijafahamu changamoto na faida zake.
Hiyo hela umeipataje, Zingatia hapo hela ulipoipata Mara nyingi faida haizidi 20% ya hela yako kwa mwezi
 
Wakuu,

Biashara gani ambayo inaweza kukuingizia faida ya Tsh. 20,000/- per day kwa hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa 1.5mil?

Binafsi nilifikiria nisajili laini za uwakala nifanye miamala ya simu but sijafahamu changamoto na faida zake.
Tafuta eneo pale kariakoo,Nunua madeli 2 then uza maji na vinywaji mchanganyiko vya baridi.Nakuhakikishia hiyo 20,000 saa 6 mchana ushaipata.
 
Chukua simu used 5 za laki mbili mbili uza 250k

Uhakika wa 20k kwa siku sijui

Ila kama upo dar uhakika wa 100k kwa week nna uhakika
 
Back
Top Bottom