Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo hela umeipataje, Zingatia hapo hela ulipoipata Mara nyingi faida haizidi 20% ya hela yako kwa mweziWakuu,
Biashara gani ambayo inaweza kukuingizia faida ya Tsh. 20,000/- per day kwa hapa Dar es Salaam kwa mtaji wa 1.5mil?
Binafsi nilifikiria nisajili laini za uwakala nifanye miamala ya simu but sijafahamu changamoto na faida zake.
Excuse za nini kwani wa kike huwezi kuendesha mbona mnapenda kujirudisha nyuma?Me wa kike
Tafuta eneo pale kariakoo,Nunua madeli 2 then uza maji na vinywaji mchanganyiko vya baridi.Nakuhakikishia hiyo 20,000 saa 6 mchana ushaipata.Wakuu,

mmmhMe wa kike