Kwa mtazamo wangu kuhusu viongozi kupita kwenye carpet

Kwa mtazamo wangu kuhusu viongozi kupita kwenye carpet

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
FB_IMG_17595161875450816.jpg

Huu ni mtazomo wangu tu viongozi kupita kwa carpet hasa africa ni kuepuka kuchotwa nyayo za miguu kama hivi.
 
Huu mtazamo unaingia akilini unless walete maelezo kamili kwa nini wanawatandikia lile kitu la rangi nyekundu au kijani
 
Yani kweli nchi yetu hii Rais ni Samia!! Hasara tu
 
Kwenye carpet sio lazima liwe red, mbona chifu Hanganya anapita kwenye green carpet hapo.
 
Hamna hata cha maana ni usenge tu, wachawi tusisingiziwe kiasi iko.
 
Hivi wakicha chota hizo nyayo halafu ndio inakuwaje? wanaenda kumpiga katerero eagle style au wanamfunga kwamba asiweze kutembea?
 
Huwa nashangaa sana wale wanaokaa juani kwenye kampeni huku wamesimama,sura zimechoka hazina nuru, wakati wengine wamekaa kivulini kwenye viti.
Watu wana mahaba ya ajabu au sijui wamerogwa, not me kwa kweli.
 
carpet lazima liwe jekundu mkuu,hapo lilikuwa kijani kwa vile alukuwa kama mgombea urais wa CCM na chama chao kina rangi ya kijani..
lakini carpet la rais ni LAZIMA liwe jekundu.
Mzee hizo carpet zina rangi tofauti tofauti kutegemeana na maana na mazingira.

Usikalili kua ni lazima iwe "red carpet", kuna google na chat gpt nenda kaulize huko ujifunze.
 
Back
Top Bottom