Kwa mtazamo wangu naona Treni ya SGR haitachukua miaka 6 itakufa

Kwanini isuesue??? Huko ndo kufa, kama kitu hakuna muendeleza uleule hakuwezi kuzingatia kama Kuna manufaa ni kama nguo chakavu unapoitumia kulimia unaitumia sawa lakini huwezi kusema Nina nguo ya kulimia
kiswahili cha wapi kuwa kitu kinacho sua sua tayari kimekufa? kilicho kufa HAKIPO na kinacho sua sua KIPO,.usichanganye mambo mgonjwa na marehemu ni vitu tofauti
 
Huyu anaweza kuwa sahihi angalia TAZARA,ATCL na mabasi ya mwendo kasi. Hii miradi ikiwemo SGR ili idumu iendeshwe kwa kushirikisha sekta binafsi kuleta ufanisi na mwendelezo, kuwe na mabehehewa na vichwa vya treni vya makampuni binafsi ili kuleta ushindani-
 
You have negative sided mindset kote sawa ila kusema mbongo ni mbongo tu umeharibu uzi mzima sina hamu nao tena
 
You have negative sided mindset kote sawa ila kusema mbongo ni mbongo tu umeharibu uzi mzima sina hamu nao tena
Na lengo limetimia kwa wewe kutokuwa na hamu nao uzi wangu

Ukisikia paaah
 
Huuradi la,ima tu ufe sababu ya wasimamizi wa tz kuwa hamnazo isipokuwa Mimi tu.mfano mwendokasi kasi imekufa,shirika la ndege lilikufa kipindi kile japo hata Kwa Sasa limeanza kuonyeshwa dalili ya kufa,viwanda vingi vilikufa na Kwa Sasa miradi mingi mikubwa imekufa
 
Kati ya mradi ambao ukikamilika hawatauua ni SGR
 
Nimechoka kusikia kuwa mwenyekiti wa bodi TRC naye alisafiri bure kwenda Moro na kurudi Dar! Na huenda na sekretari wake na waandishi walikuwemo.
 
Ikiwa kama itazotesha biashara za usafirishaji wa 'wadau 'muhimu' lazima iuawe ili 'kulinda uwekezaji'.
 
Mwendokasi ndio mfano sahihi,bongo sustainability ya miradi ni zero.
 
SGR utaendeshwa kwa umeme huu wa tanesco au utatumia umeme wake binafsi? Kama utatumia tanesco nathubutu kusema huu mradi umeshafeli kabla hujaanza
 
Kumbe unaongelea nchi zilizoendelea. Ok! Poa
 

Wenye akili tumekuelewa
 
Reminder set.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…