Mwehu na **** utamjua tu!humu ndan si kuna mafala kibao mtu anachosema katongozwa na mbaba anaeish na vvu so kwa aikil yko hyo mbaba anatka nn kama sio ku spread kuwen na akili mtuanapotoa hoja huna point acha kuchangia wehu nyieeeeee ambao mnakurupuka tu kama bao la kwanza shenziii nyoooooo
We ulishawai kutongoza/kutongozwa? kama kweli unaelewa ukimwi ni nini utajua jua cha kufanya hapa!
humu ndani watu wanapiga kelele hata afya zao hawazijui na kila siku wanatongoza na kutongozwa
Msinishambulie sana kwamba namnyanyapaa la hasha hata kidogo.......................
Nimefanya nae kazi kwa ukaribu na kumsaidia sana katika mambo mengi ya kikazi, lakini......................
Nimemshangaa sana jana kunipigia simu na kuniambia ananipenda wakati ana jua fika kuwa nina mume na watoto.....................
Kunitaka sikatai ni hali ya wanaume kumtamani/sijui kumpenda mwanamke......................
Najiuliza anataka kuniweka katika group lake la PLHA au shida yake nini hasa??
Ni mmoja wa chair wa chama cha hawa wenzetu PLHA..................
Na sisi ni moja ya shirika ambalo linawapa msaada mkubwa na support yao yote inatoka kwetu.....................
Nimekosa jibu nakubaki nimeshangaa............................................
Najiuliza je ni kwa sababu mkewe kafariki??
Au nini hasa???
Nilijikuta nataka/natamani kumtukana lakini namuheshimu maana ni sawa na Baba yangu kabisa..................................
Najiuliza kama anaweza kunitongoza mimi ambaye namjua kuwa anaishi na VVU je kwa wasichana wengine wasomjua???...................
Kweli UKIMWI hautakwisha TZ kwa mtindo huu........................................
Wajameni tuwe makini sana......................
Cheers
DA
hivi ni kweli DA hujawahi kutakwa tangu uolewe? Naona kama unataka kumuhukumu baba wa watu ndivyo sivyo.. Ana haki ya kukutaka ila ni juu yako kukubali au kukataa. Suala la kuharibiana maisha hapa linatokana na wewe kumkubalia ombi lake ama la.. hata hivyo kwa kuwa ana VVU sio kweli kwamba anaambukiza wengine.. ndio maana mnagawa au kusisitiza matumizi ya kondom.. au vp dada..My concern ilikuwa why anitake??? Cause kuwa na HIV si kwamba kunamzuia kupenda au kusikia hamu ya kufanya mapenzi but kwanini asitafute mpenzi wakaelimishwa na kuishi vizuri hata kama ni negative + positive?? Mimi ananitaka wa nini kama sio kuniharibia?? Hazuiwi kupenda wala kuwa na mpenzi lakini ananitaka nifanye nae nini??? Ngono then what next?? Aaaahhh bana haifai
ungekubali umkate mboo kabla ya ku-do!
hivi ni kweli DA hujawahi kutakwa tangu uolewe? Naona kama unataka kumuhukumu baba wa watu ndivyo sivyo.. Ana haki ya kukutaka ila ni juu yako kukubali au kukataa. Suala la kuharibiana maisha hapa linatokana na wewe kumkubalia ombi lake ama la.. hata hivyo kwa kuwa ana VVU sio kweli kwamba anaambukiza wengine.. ndio maana mnagawa au kusisitiza matumizi ya kondom.. au vp dada..
Sante sana kwa kunielewa mkuu. Barikiwa na Bwana[/QUOTE]
mmmmhhhh wewe ni ustadhat kweli!!?? hiyo red yanipa mashaka
<br />Kutongoza na kutongozwa sio jambo la ajabu mkuu...ila nimesaeleza hapo mwanzo kuwa huyu jamaa hathamini afya yake na za wanaomzunguka.<br />
Na kuhusu kusema watu wanapiga kelele bila kujua afya zao,una justification gani kuwa hawajui?
unyanyapaaPole shost siunajua wasohaya wanamji wao, Jibaba hata haya halina, haendi kutafuta aloathirika mwenzie loh,Mwenyezi mungu atakunusuru hili na jengine...
Kunitaka sikatai ni hali ya wanaume kumtamani/sijui kumpenda mwanamke......................
Najiuliza anataka kuniweka katika group lake la PLHA au shida yake nini hasa??
Ni mmoja wa chair wa chama cha hawa wenzetu PLHA..................
Na sisi ni moja ya shirika ambalo linawapa msaada mkubwa na support yao yote inatoka kwetu.....................
Nimekosa jibu nakubaki nimeshangaa....................................... .....
Najiuliza je ni kwa sababu mkewe kafariki??
<br />
<br />
Kumbe Sangara = Dena Amsi! Idd Mubarak
unyanyapaa