deo masawe
Member
- Jun 13, 2016
- 25
- 13
Ni watu wangapi wamekufa kwa kukosa huduma tena ya hela ndogo kabisa,we unaleta majigambo hapa,hayo ni ya duniani tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile jeans zako za $800 hio 2m si jeans moja tu na change kidogo ya t-shirt?
Dola 2000 ni takriban 4.5milion, ni gram ngapi hiyo bangili moja mkuu?Mmi sidhani kama 2000 ni pesa nyingi, ni takribani chini ya dola 1000 tu. Nadhani ni kwasababu ya umasikini mzito tulionao sisi Wtz ndio maana tunashangaa na kushabikia mambo hayo madogo kabisa. Kwa mfano nguo ya laki moja ni chinni ya dola 50, sasa hapo cha ajabu ni kitu gani. Mimi ni mtu wa kawaida tu na tunaishi very low profile lakini mke wangu bangili za gold anazovaa moja tu ni dola 2000 na anavaa tatu kwa panoja hapo ukiondoa chain, heleni na kikukuu cha gold bado mavazi, nakwakuwa hatuna ulimbukeni tunaona kitu cha kawaida. Tuzoee kuona hivi vitu ni vya kawaida tu.
Yani anajipigilia bangili za dola 6000 ambayo ni kama 13.5millions hivi, hizo ni Bangili tuuu bado viatu, gauni, simu, Nywele, saa, hereni nk! Nadhani jumla huyu atakuwa anavaa kama 50 milioni hivi [emoji1]wakora waituuu!!!!
khaaaaa wewe kaka hapana
sio kwa kujikweza huko...
hebu picha za mkeo tumuonee na hivo vito vya dola 2000
Jamani Wahaya hamkui ???? Hivi kule Misenye mbona maisha yako ovyo vile vijumba vya nyasi hamvioni ??? Kuishi maisha kama hayo ilhali umezungukwa ma masikini wa kutupwa sio vizuri. Kwani mwanamke akivaa hivyo vitu anongezeka nini zaidi ya kuchagua maeneo ya kutembelea na aina ya usafiri, maana mengine yatakuwa hatari kwa maisha yake.Mmi sidhani kama 2000 ni pesa nyingi, ni takribani chini ya dola 1000 tu. Nadhani ni kwasababu ya umasikini mzito tulionao sisi Wtz ndio maana tunashangaa na kushabikia mambo hayo madogo kabisa. Kwa mfano nguo ya laki moja ni chinni ya dola 50, sasa hapo cha ajabu ni kitu gani. Mimi ni mtu wa kawaida tu na tunaishi very low profile lakini mke wangu bangili za gold anazovaa moja tu ni dola 2000 na anavaa tatu kwa panoja hapo ukiondoa chain, heleni na kikukuu cha gold bado mavazi, nakwakuwa hatuna ulimbukeni tunaona kitu cha kawaida. Tuzoee kuona hivi vitu ni vya kawaida tu.
Moja ya kitu kinachomtofautisha mtu maarufu na wakawaida mara nyingi ni kujulikana kwake na mavazi anayovaa. Kwa mfano mzuri tu ni hapa Bongo watu wengi maarufu wamekua wakionekana nadhifu sana kwa kuvaa nguo za gharama.
Kwa mwananchi wa kawaida kununua nguo ya Laki moja ni jambo gumu sana ila kwa star kama Wema Sepetu ni jambo la kawaida sana. Akihojiwa katika EFM Radio Wema Sepetu alifunguka kua kwa kila siku anayotoka vitu anavyovaa gharama yake ni kama milioni 2 za kitanzania. Hebu mskie kwenye video hii hapa chini..
Weka picha tumwone usije ukawa kama wema na wewe! kujiongezea masifuri mbele laki iitwe million.Mmi sidhani kama 2000 ni pesa nyingi, ni takribani chini ya dola 1000 tu. Nadhani ni kwasababu ya umasikini mzito tulionao sisi Wtz ndio maana tunashangaa na kushabikia mambo hayo madogo kabisa. Kwa mfano nguo ya laki moja ni chinni ya dola 50, sasa hapo cha ajabu ni kitu gani. Mimi ni mtu wa kawaida tu na tunaishi very low profile lakini mke wangu bangili za gold anazovaa moja tu ni dola 2000 na anavaa tatu kwa panoja hapo ukiondoa chain, heleni na kikukuu cha gold bado mavazi, nakwakuwa hatuna ulimbukeni tunaona kitu cha kawaida. Tuzoee kuona hivi vitu ni vya kawaida tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenyewe nimebaki natoa macho kama naingizavocha na mkwezo huo!wakora waituuu!!!!
khaaaaa wewe kaka hapana
sio kwa kujikweza huko...
hebu picha za mkeo tumuonee na hivo vito vya dola 2000
Ndauli be!Kusema ukweli hiyo pochi hata mimi ninayo nilinunua 45 kwa mdada wa Dubai. So laki mbili na nusu ni uongo mtupu.
Hatari sana mke wa nyakanazi!! Wakorawaitu2000x3x2200 = 13,200,000. Nyakanazi mkeo anapiga bangili za 13ml?
Hapana Mkuu, definition ya maisha inatofautiana sana baina ya watu. Sidhambi kama ukimfanyia haya mkeo wakati huohuo ukilipa kwa jamii iliyokuzunguka. Nakufanya hayo haimaanishi kuwa hufanyi mambo mengine ya muhimu kwenye maisha. Nimesoma kwa taabu sana na Mungu amenipa kwanini nisifanye lile linalopendeza nafsi yangu. Kama michango tu nimeshatoa sana na ninaendelea kutoa, kama tunatoa dhaka, sadaka, kusomesha watoto yatima na kusaidia watu wengine kwanini sehemu inayobaki nisifanye mambo yanayofurahisha moyo wangu na familia yangu? Nisiende hata hapo Dubai vacation kwa sababu ya kusaidia tu, kumbuka kuwa masikini hawaishi na wataendelea kuwepo hadi siku ya mwisho hivyo unapaswa ubalansi maisha kusaidia na kusihi vizuri na ndivyo ninavyofanya. Don't define life in a poverty perspective.Jamani Wahaya hamkui ???? Hivi kule Misenye mbona maisha yako ovyo vile vijumba vya nyasi hamvioni ??? Kuishi maisha kama hayo ilhali umezungukwa ma masikini wa kutupwa sio vizuri. Kwani mwanamke akivaa hivyo vitu anongezeka nini zaidi ya kuchagua maeneo ya kutembelea na aina ya usafiri, maana mengine yatakuwa hatari kwa maisha yake.
Ha ha ha si atatoka bara barani? atatembelea rimMimi nilitegemea celebrity avae ghali zaidi ya hio 2m!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kama ulikuwa katika akili yangu.Na hako kastuli hapo ni M'ngapi chief?
Hahaaa. Noma sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kama ulikuwa katika akili yangu.
Mimi nilitegemea celebrity avae ghali zaidi ya hio 2m!
Bangili hizo tatu zinauzito unaotofautiana kidogo kwakuwa haziwezi kuwa sawa ila round figure ni gram 52.84 kwa moja ambapo kwa zote roughly ni gram 158.5. Labda hints hizi zitakusaidia kupiga hesabu vizuri: gram 1 Karat 21 is 139 AED = 37.844 USD.Dola 2000 ni takriban 4.5milion, ni gram ngapi hiyo bangili moja mkuu?
Hio suede iliokaa gadget yako ni sofa? Nayo milioni ngapi?Ki gadget changu kimoja tu kinacheza anga za karibu milioni mbili....teh teh teh
USA baby....
View attachment 356439