Kwa mtu mwenye tsh. 200,000/- hii hapa hela ya bure tsh. 347,200/- kwa sekunde tu

Asee najua sio peke angu tuliokua tunausubiria mkeka wa uyu jamaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].mimav kama yote huko alipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Mm mwenyewe huu mkeka nilkua nauwazia sana. Mechi ilivoisha tu nkaja kusoma Comment
 
Mpira ungekuwa rahisi hivyo basi Barcelona angechukua ubingwa uefa,au Chile Jana angetoboa fainali Copa America.
NB nakuhakikishia ukipata hayo matokeo unayowaza njoo fufua hiii comment yangu.kila la kheri mkuu.
Nilimwambia huyu dogo....mpira haujui anakuja kuanzisha Uzi halafu anaapia kutembea na mama yake mzazi alivyokuwa taahira.....na Nina hakika hata hela hiyo ya kubet hakuweka ila alijifurahisha tu.egypt katoka wanaume wamesonga mbele.
 
Haka kajamaa kalikua na maneno mengi ya nyodo, vijana msitegemee kuendesha maisha kwa ku bet tu, fanyeni kazi za uhakika.
 
Lete ndoto nyingine na ukiweka tena stake kuanzia elf 20 nitahoji chanzo/vyanzo vyako vya mapato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…