Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
U hali gani mkuu?Yaani South Africa wamutoe Egypt kaka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
U hali gani mkuu?Yaani South Africa wamutoe Egypt kaka?
Asee najua sio peke angu tuliokua tunausubiria mkeka wa uyu jamaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].mimav kama yote huko alipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umevunja amri ya Mungu kwa mambo ya kipuuzi unategemea akuache salama kweli!!!!Haki ya Mungu natembea na Mama yangu mzazi kutoka Dar mpaka Mwanza kwa miguu [emoji3][emoji3]
Hebu uangalie mkeka wako saivi unasomaje? Pole sana umempa pesa Mhindi ya Bure. Mi niliweka Argentina Win +Egypt VRSA under 1.5Mechi ipi kwa mfano mkuu?
Nilimwambia huyu dogo....mpira haujui anakuja kuanzisha Uzi halafu anaapia kutembea na mama yake mzazi alivyokuwa taahira.....na Nina hakika hata hela hiyo ya kubet hakuweka ila alijifurahisha tu.egypt katoka wanaume wamesonga mbele.Mpira ungekuwa rahisi hivyo basi Barcelona angechukua ubingwa uefa,au Chile Jana angetoboa fainali Copa America.
NB nakuhakikishia ukipata hayo matokeo unayowaza njoo fufua hiii comment yangu.kila la kheri mkuu.
Haya tembea na mama yako sasa....achaga kuhusisha wazazi na vitu vyako vya kijinga Kama hivi,utembee na mama mzazi kisa kula kamari!!!?Kama upo vizuri tupia mkuu
Sio mbaya kujijibu mwenyewe.Egypt wanatolewa.
Ok!Egypt wanawabamiza hao madogo mapema sana
Kaenda kutembea na mama ake mzaziHuyo jamaa mwenye huu uzi yupo