Kwa mtu mwenye tsh. 200,000/- hii hapa hela ya bure tsh. 347,200/- kwa sekunde tu

Nimefurah wazulu kupita ila nimesikitika kuona kiapo kikubwa (kutembea na mama) alichoweka huyo jamaa.

Kama wamisri wangejua hiki kiapo wallah wangepita na wewe maana kwa kiapo hicho hatakama mimi ndo Mungu ningepindua tu matokeo ili nikuone.

By the way kubet sio ajira, ila kama unabet kwa burudani huwa inakua rahisi sana.
Acha kubet kwakuwazawa upate hela yakutatua matatizo yako. Fanya iwe kama michezo mingine.

Labda utanielewa kwa mifano hii[emoji116][emoji116][emoji116]
NB: Weka hela ambayo ikipotea hautapata diarhoea
20190704_163604.jpeg
20190704_163548.jpeg
20190704_163531.jpeg
 
Wakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa

Yaani kama unabisha acha harafu subiri game iishe ikitokea nimeliwa sitaonekana tena humu harafu naenda kutembea na Mama yangu mzazi

Piga uwa galagaza mhindi lazima aliwe na wewe kama una hiyo pesa au zaidi weka tuhakikishe mhindi anarudi kwao AFCON hii

Algeria na Egypt wote washinde hizi game mbili tu weka dau la maana mshikaji wangu uhakika ila kama una roho ngumu unaweza kuongeza Senegar na Morocco pia washinde hawa jamaa mapema sana wanatoboa robo fainali

Mods naomba msiuunganishe uzi huu na nyuzi zingine ili watakaopinga waje wapinge pia baada ya hizo mechi

Wale wakujitungua pesa hiyo hapo sasaView attachment 1146830
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
I WISH YOU LUCK BRO. AISEE ILA KWANGU KAMA NI ISSUE OF BETTING. HAKUNA KITU HATARI SANA ULIMWENGUNI KAMA BINADAMU KUBASHIRI YAJAYO NA KUAMINI NDIVYO. IT'S A SUPERNATURAL TASK WITH HIGH RISK. BUT IF YOUR GOOD TO GO, FANYA KWA TANI YAKO.
 
Wakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa

Yaani kama unabisha acha harafu subiri game iishe ikitokea nimeliwa sitaonekana tena humu harafu naenda kutembea na Mama yangu mzazi

Piga uwa galagaza mhindi lazima aliwe na wewe kama una hiyo pesa au zaidi weka tuhakikishe mhindi anarudi kwao AFCON hii

Algeria na Egypt wote washinde hizi game mbili tu weka dau la maana mshikaji wangu uhakika ila kama una roho ngumu unaweza kuongeza Senegar na Morocco pia washinde hawa jamaa mapema sana wanatoboa robo fainali

Mods naomba msiuunganishe uzi huu na nyuzi zingine ili watakaopinga waje wapinge pia baada ya hizo mechi

Wale wakujitungua pesa hiyo hapo sasaView attachment 1146830
😭😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa

Yaani kama unabisha acha harafu subiri game iishe ikitokea nimeliwa sitaonekana tena humu harafu naenda kutembea na Mama yangu mzazi

Piga uwa galagaza mhindi lazima aliwe na wewe kama una hiyo pesa au zaidi weka tuhakikishe mhindi anarudi kwao AFCON hii

Algeria na Egypt wote washinde hizi game mbili tu weka dau la maana mshikaji wangu uhakika ila kama una roho ngumu unaweza kuongeza Senegar na Morocco pia washinde hawa jamaa mapema sana wanatoboa robo fainali

Mods naomba msiuunganishe uzi huu na nyuzi zingine ili watakaopinga waje wapinge pia baada ya hizo mechi

Wale wakujitungua pesa hiyo hapo sasaView attachment 1146830
 
Ndio maana kamali sio nzuri dah, mzee baba kashapigwa laki mbili
 
Mimi kubeti kwangu natoaga kanisani 50000 haipitagi siku3 kitu kama 2times hivi
 
Wakuu mimi mwenyewe nimeweka hii kitu nasubiri pesa yangu tu yaani namaanisha kubeti nimebeti game mbili kwa tsh. 200,000/- game ni za uhakika kabisa

Yaani kama unabisha acha harafu subiri game iishe ikitokea nimeliwa sitaonekana tena humu harafu naenda kutembea na Mama yangu mzazi

Piga uwa galagaza mhindi lazima aliwe na wewe kama una hiyo pesa au zaidi weka tuhakikishe mhindi anarudi kwao AFCON hii

Algeria na Egypt wote washinde hizi game mbili tu weka dau la maana mshikaji wangu uhakika ila kama una roho ngumu unaweza kuongeza Senegar na Morocco pia washinde hawa jamaa mapema sana wanatoboa robo fainali

Mods naomba msiuunganishe uzi huu na nyuzi zingine ili watakaopinga waje wapinge pia baada ya hizo mechi

Wale wakujitungua pesa hiyo hapo sasaView attachment 1146830
Pole sanaa kiongozi hii ndyo Betting!
 
Back
Top Bottom