Kwa muda Mchache uliobaki, CCM itaweza kuunganishwa makundi yote Ili kuingia uchaguzi wakiwa wamoja?

Kwa muda Mchache uliobaki, CCM itaweza kuunganishwa makundi yote Ili kuingia uchaguzi wakiwa wamoja?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Shalom,Salaam!!

Huu mtikisiko ndani ya chama Dola unaendelea, unatoa wasiwasi juu ya mustakabali wa chaguzi zijazo,

Ikiwa Hadi muda huu, coach hajapata Bado muunganiko wa team yake kuelekea uchaguzi, muda uliopo utamtosha kupata team Imara ya kuaminika kuipa ushindi timu yake Kwa haki?

Na ikiwa muda hautoshi, je Mbinu zile zile za 2020 zitafanikiwa?

Karibuni🙏
 
Wakati hayo yakiendelea chama Dola,

Hali Iko tofauti Kwa CHADEMA,timu hii inaonekana ni Imara, imeweza kuhimili mitikisiko yote ikiwa salama,

Ni kwema mbeleni?
 
CCM ni Nguvu moya
Nani atakiunganisha chama?

Ni mstaafu KIKWETE?

Mbona naye kauli zake utata mtupu?

Hivi CCM hamuoni Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ingewasaidia ninyi zaid kuvuka salama?
 
Nani atakiunganisha chama?

Ni mstaafu KIKWETE?

Mbona naye kauli zake utata mtupu?

Hivi CCM hamuoni Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ingewasaidia ninyi zaid kuvuka salama?
Hayatajirudia ya 2015 uwe na Amani!
 
Back
Top Bottom