Nani atakiunganisha chama?CCM ni Nguvu moya
Hayatajirudia ya 2015 uwe na Amani!Nani atakiunganisha chama?
Ni mstaafu KIKWETE?
Mbona naye kauli zake utata mtupu?
Hivi CCM hamuoni Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote ingewasaidia ninyi zaid kuvuka salama?
Kuondoka Kwa Mzee Mwinyi kumeacha kishindo kikubwa!!Hayatajirudia ya 2015 uwe na Amani!
Kwani yeye alikua active ndani ya chama!!?so alikua anasahau sahau tu!!?Kuondoka Kwa Mzee Mwinyi kumeacha kishindo kikubwa!!