Uchaguzi 2020 Kwa muelekeo wa hotuba ya Lissu CHADEMA hakiwajui Watanzania kinaweza kisipate hata nusu ya kura ilizopata 2015

Tukutane baada ya uchaguzi huyo Lissu wako hatapata kura za aibu hayo mambo ya ushoga aliulizwa yeye akatoa jibu yeye ila alisahau wapiga kura ni watanzania pia nu yeye alikuwa akisema tutashitakiwa lakini hatujashitakiwa
Tatizo ni tume kwani ni ya ccm. Wasingekuwa na hiyo tume yao ccm ingekuwa "Precious Memories".
 
Usingizi wa pono
Graph inapanda sana mwaka huu ni 10ml votes plus.
Usingizi wa pono na ndoto kuwa bilionea laiza huku ukiwa na jero mfukoni.
Mwaka.huu mkifikisha milioni.mbili ni bahati mtafanya sherehe
 
Chadema haipo hapa kufuata ushauri wako..

Chadema ina miaka zaidi ya 22,haijawahi kufuata ushauri wako wala haina mpango wa kufuata ushauri wako....

Haijawahi fuata chochote unachosema na ipo mpaka leo,huu ujinga ulioandika hapa hawaufuati na hawapotezi chochote like the rest of the last 22years kabla ya kuandika huu upumbavu hapa!
 
Tume inaweza kuwa tatizo lakini tatizo kubwa chadema hawajajipanga kama chama kinachotaka kuchukua dola
Unataka wajipangeje, fafanua kuliko kuongea tu kiujumla hivyo. Hii ccm yenu inayojua kujipanga wameifanyia nini hii nchi cha maana sana.
 
Nakuhakikishia hutaeleweka humu na walio wenginamabao wanadhani mhemko ni ushindi.

Hata wakati najifunza Guji lu sensei alitufundisha kuwa calm kwa adui, usihemke. Ndipo uta attack kwa ufasaha .

Uzee bhana sasa hivi hata yoko geli sipigi
 
Shida iko wapi? Kwenye ushindani mwananchi unatakiwa uone wapi panakufaa. Haitawezekana kwenye wengi watu wasikie ushauri wako. Kwenye kuchagua tumia 'scale of preference'.
 
Hii kauli ya "tunataka chadema imara ili kuifanya ccm iwe imara" ni kakichaka flani ivi mnajifichiaga na kushindwa kusema ccm ni chama chakavu... this is eating you from inside.... mnajijaza na kushupaza shingo.... huu ni ucheleweshaji wa maendeleo bila sababu za msingi.... kuwen wazi kiwekeni ccm pembeni wape nafasi watu wapya.
 
Graph inapanda sana mwaka huu ni 10ml votes plus.
Mkuu mbona uko kimya sana, nini kinakusibu. Tuanahitaji sana michango yako jukwaani hususani kwa wakati tulionao wa chama chako kunadi ilani ya chama inayowataka wananchi kuingia barabarani na kutengeneza tshirts nzuri za chama😀
 
Ushauri mzuri umewapa wautendee kazi, Ila kwa Sasa wako busy kuongeza beti kwa wimbo wa taifa na hawataki kukubali kuwa wamekosea
 
Ushauri mzuri sana huu. Hakuna kipindi ambacho upinzani watakuwa na hoja nyingi kama kipindi hiki swala la msingi ni kujua namna ya kuwasilisha hoja hizo.
Agree with you, kikubwa waache mihemko na conflicts na Dola zisizo na msingi
 
Mtoa post ww huwajui wa tanzania, wa tanzania wa sasa si wa mwaka 1947,mambo hubadilika usitegemee hivyo kadri miaka inavyozidi Kwenda na ndivyo ufahamu wa mambo unavyozidi kubadilka.
Chadema hamjamtendea haki Membe,Lissu katumia jukwaa la ACT kujinadi hakupata hata muda wa kuongelea umuhimu wa ujio wa Membe upinzani. Nadhani ACT hawakufurahia hilo.Same kwa wagombea wenzake huko CDM.Hakuonyesha kuwakybali.Nilichojifunza kwa Lissu ni kwamba haoni umuhimu wa wahamiaji toka ccm.Hapa muungano haupo mtasubiri sana
 

Kupitia njaa na umasikini waliotuletea tayari wanakijua, maendeleo ya vitu sio maendeleo ya watu, kujenga majengo dar, dodoma na Chato kunawasaidia vipi maeneo mengine ya nchi Hadi nao washawishike kwamba wamenufaika na awamu hii.
Ameumiza watz wengi Sasa ni zamu ya mavuno.
Kwa kupigwa kwake risasi amini watz tumepona.Atulewi pombe tena,twende na mtanzania mwenzetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…