Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
Wanakuwa wametolewa kafara bado roho zao hazijachukuliwa MunguKwa hiyo wote wanaokufa wakiwa chini ya miaka 70 wanakwenda motoni, sivyo?
Ninaposema 'kufa' namaanisha destiny yao.Wanakuwa wametolewa kafara bado roho zao hazijachukuliwa
ToWanakuwa wametolewa kafara bado roho zao hazijachukuliwa Mungu
Wanakuwa store auWanakuwa wametolewa kafara bado roho zao hazijachukuliwa Mungu
Ndiyo maana alifufuka.Kwa hiyo hata kifo cha Yesu haikuwa mpango wa Mungu?