Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

Hahahahahahahaha

Kidumu chama cha Mapinduzi

Baada ya Rais Mteule Hussein Mwinyi kutangazwa watakuwa busy kumfukuza Uanachama Membe kama walivyokuwa busy 2015 baada ya matokeo kumfukuza Lipumba badala ya kupigania Urais wao kwa Dr Shein
 
Umeambiwa swala la ushirikiano lilijadiliwa katika vikao vya chama na si kuwa mwanachama mmoja kajiamulia mwenyewe kumuunga mgombea wa chama kingine. Kwa hiyo hili swala lilikuwa maalum na kifungu hicho hakija kiukwa
Mkuu, Hakuna namna ya kuwanasua!! Wamevunja katiba.
 
Ponda atapondwa tarehe 28.10.2020, jikite kwenye hoja kamanda acha kuweweseka
Shekhe Ponda amawaapisha Wananchi wa Lushoto kuwa Kawe wasimpe kura Magufuli

Daah! Wananchi Wamefurahi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…