Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

Imevuja:Bakwata kuvujwa na baadala yake inaundwa Islamic Council of Tanganyika and Zanzibar

Mufti Mkuu
imethibitika atakuwa Alhaji Sheikh Ponda Issa Ponda

Baada tu ya kuapishwa kwa Jemadari mpenda HAKI na Maendeleo ya WATU
[emoji23][emoji23][emoji23]Nasikia ataapishwa na Amsterdam
 
Jenga hoja, tarehe 28.10.2020 sisi watanzania tutaweka utawala wa Watanzania na sio wa vibaraka wa akina Robert Amsterdam
Toa utopolo wako hapa, tupo kwenye wiki ya mwisho wa kampeni, hakuna kitakachotutoa kwenye mstari, shughulikeni na jiwe wenu, katiba ya Act iache tu wala haikuhusu
 
People of Tanzania we should know that we are slaves in our own country, so the only opportunity we have now is to change the whole system by having our own powers.
We wa kijijini, utumwa ni shida. Usiutaje shetani akasikia.
 
Katiba ya Mwenzio wewe inakuwashia nini?mnataka tufukunyue na nyinyi mnavyoichambia Katiba nini?
Sasa hujioni kama unakuwa mjinga?

Unataka uwe mbadala wa ccm wakati katiba yako tu mwenyewe huifuati. Hizo ni akili au matope?
 
Ndugu zangu,

Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT.

Fuatilia mwenyewe hapa chini,Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.View attachment 1606498
Wazo la kuunga mkono ni la kamati kuu na sio la Maalim wala Zitto elewa mkuu....Kamati kuu ndio hao hao waliotunga hiyo katiba.
 
Kwasasa haina marekebisho kamanda
Msajili achukue hatua haraka wawasiliane na Tume ya uchaguzi wawaondoe ugombea zitto KABWE na Maalim SEIF

MWENYE katiba ya CHADEMA HEBU apitie tuone uanachama wa mtu unakomaje na kule twaweza kuta na Lisu na mbowe nao wamejivua uanachama
 
Usiniingize kwenye ligi ya kitoto nimeyasema hayo kwa uhalisia na kampeni zinavyoendelea
Unamkana Amsterdam?

Hujui kama yule ndio mastermind wa kampeni za mgombea wako?

Unafikiri zile juhudi anazofanya kule twiter ni za bure?
 
Hapo tayari Kachero akiamua kuwavuruga watapoteana.

Nakumbuka jana alisisitiza kwamba "Hayo si maamuzi ya chama bali individuals tu".

#NiguseNinuke!
 
Wazo la kuunga mkono ni la kamati kuu na sio la maalim wala zitto elewa mkuu....Kmati kuu ndio hao hao waliotunga hiyo katiba.
Issue ni katiba iliyopo sasa hivi iliyosajiliwa kwa msajili
kama kamati kuu ndio iliamua hilo ina maana yote imejivua uanachama. Katiba inayotumika sasa ndio hiyo inayokataza

Msajili wa vyama chukua hatua upesi kwenye hili kama ni kamati kuu ijulikane wote wamejivua uanachama na wagombea wao wavuliwe ugombea haraka.
 
Ndugu zangu,

Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT.

Fuatilia mwenyewe hapa chini,Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.View attachment 1606498
Kama ulimsikiliza Maalim Seif kwa makini amesema tamko lile sio la Zitto au yeye lile tamko ni la chama walikaa chini wakaamua hadi huyo Membe alikuwepo.

Wacha kukurupuka, wale watu wazima wenye akili zao wanajua wanachofanya chezo la Membe na CCM limeshtukiwa zamani sana. Mtabaki mnatapatapa tu..
 
Jenga hoja,tarehe 28.10.2020 sisi watanzania tutaweka utawala wa Watanzania na sio wa vibaraka wa akina Robert Amsterdam
Mmeishiwa pumzi, mmebaki kusimulia bombadia wakati ni zilipendwa...watanzania wamewachoka nyinyi matapeli na wadhulumati wa haki za wanyonge, wakulima, wafanyakaxi, wafanyabiashara, walimu na hata wana ccm wenzenu wamechola uongozi wenu wa mabavu...mtajua kama tumewachoka, subiri 28102020
 
Wazo la kuunga mkono ni la kamati kuu na sio la maalim wala zitto elewa mkuu....Kmati kuu ndio hao hao waliotunga hiyo katiba.
Wao wamekuwa wakitoa matamko midomoni mwao wakati katiba inatamka mtu akitoa hayo matamko kajivua uanachama wameshajivua uanachama kinachosubiri ni wao kuvuliwa ugombea tu haraka sababu sio wanachama
 
Imevuja:Bakwata kuvujwa na baadala yake inaundwa Islamic Council of Tanganyika and Zanzibar

Mufti Mkuu
imethibitika atakuwa Alhaji Sheikh Ponda Issa Ponda

Baada tu ya kuapishwa kwa Jemadari mpenda HAKI na Maendeleo ya WATU
Hivi vyeo vya duniani vitampeleka wapi? Mbiguni hakuna demokrasia. Getini ukiambiwa nenda kulia au kushoto hakuna kubisha.
 
People of Tanzania we should know that we are slaves in our own country, so the only opportunity we have now is to change the whole system by having our own powers.
Rubbish......try again later on
 
Back
Top Bottom