Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

Toa utopolo wako hapa, tupo kwenye wiki ya mwisho wa kampeni, hakuna kitakachotutoa kwenye mstari, shughulikeni na jiwe wenu, katiba ya ACT iache tu wala haikuhusu
 
Shehe Ponda atapondwa kwenye chungu kimoja na Lisu wake hapo tarehe 28
Wewe unauza utu wako na Nchi yako kwa Buku kadhaa wala huwa huangalii You Tube
Freedom is Coming✌
 
Wewe unauza utu wako na Nchi yako kwa Buku kadhaa wala huwa huangalii You Tube
Freedom is Coming[emoji111]
Youtube ndio ina piga kura?

Mwambie Ponda asubiri kupondwa pondwa
 
Youtube ndio ina piga kura?

Mwambie Ponda asubiri kupondwa pondwa
Kwa.kuwa wewe umezoea kupondwa pondwa na marugu ya vidume basi mawazo yako unadhani kila.mtu yuko kama wewe
 
Umeambiwa swala la ushirikiano lilijadiliwa katika vikao vya chama na si kuwa mwanachama mmoja kajiamulia mwenyewe kumuunga mgombea wa chama kingine. Kwa hiyo hili swala lilikuwa maalum na kifungu hicho hakija kiukwa
Katiba ndiyo sheria kuu hivyo haipaswi kukiukwa.
 
Imevuja:Bakwata kuvujwa na baadala yake inaundwa Islamic Council of Tanganyika and Zanzibar

Mufti Mkuu
imethibitika atakuwa Alhaji Sheikh Ponda Issa Ponda

Baada tu ya kuapishwa kwa Jemadari mpenda HAKI na Maendeleo ya WATU
 
Katiba huwa inarekebishwa tu wala uskonde
Katiba iliyopo sasa hairuhusu
Wanachama pelekeni nakala haraka kwa msajili mkieleza kujivua uanacha Zitto KABWE NA MAALIM SEIF NA KUILEZA TUME NA MSAJILI KUWA HAO SIO WAGOMBEA TENA WA ACT WAZALENDO. Zitto Kabwe sio mgombea ubunge na MAALIM SEIF SIO MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR TENA SABABU WAMEJIVUA UANACHAMA
 
Tusimamie sheria tuliyoitunga .
vyama vingine pelekeni pingamizi la kuwaondoa ugombea Zitto Kabwe na Maalim seif sababu sio wanachama tena wa ACT WAZALENDO

MSAJILI wa vyama iandkie tume haraka kuhusu hao wawili kuondolewa ugombea
 
Katiba iliyopo sasa hairuhusu
Wanachama pelekeni nakala haraka kwa msajili mkieleza kujivua uanacha Zitto KABWE NA MAALIM SIF NA KUILEZA TUME NA MSAJILI KUWA HAO SIO WAGOMBEA TENA WA ACT WAZALENDO .Zito kabwe sio mgombea ubunge nba MAALIM SEIF SIO MGOMBEA URAISI WA ZANZIBAR TENA SABABU WAMEJIVUA UANACHAMA
Katiba ya Mwenzio wewe inakuwashia nini?mnataka tufukunyue na nyinyi mnavyoichambia Katiba nini?
 
People of Tanzania we should know that we are slaves in our own country, so the only opportunity we have now is to change the whole system by having our own powers.

Nimepata maana yako unayokusudia imetosha, lugha . .. . .... .. . . .
 
Kwa.kuwa wewe umezoea kupondwa pondwa na marugu ya vidume basi mawazo yako unadhani kila.mtu yuko kama wewe
Kwani mimi ni mzee wa faragha?

Si ninyi ndio mgombea wenu anawatetea kila siku kwamba mchagueni atawalinda muwe mnafanyiana faragha kwa uhuru?
 
Kwani mimi ni mzee wa faragha?

Si ninyi ndio mgombea wenu anawatetea kila siku kwamba mchagueni atawalinda muwe mnafanyiana faragha kwa uhuru?
Kampepee mgombea wenu kwanza maana bila.feni pumzi hana,
 
Back
Top Bottom