Kwa mujibu wa Kusaga TV: Arusha kila siku wanauwawa madereva bodaboda

Kwa mujibu wa Kusaga TV: Arusha kila siku wanauwawa madereva bodaboda

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Kumekuwepo na visa na mikasa mbalimbali ya kuuwawa kwa madereva bodaboda huko mkoani Arusha na mara nyingi matukio hayo huripitiwa na Kusaga Tv

Kwa siku za karibuni ni kama matukio hayo yanazidi, juzi tu Kusaga TV iliripoti tukio la dereva bodaboda kuuwawa na kutolewa macho huko Olasiti, Arusha.
IMG_1366.jpeg


Leo pia, Kusaga Tv imeripoti kuuwawa kwa bodaboda mwingine huko Arumeru mkoani Arusha na mwili wake kutupwa shambani.
IMG_1364.jpeg


Hali ni mbaya, bila hatua stahiki kuchukuliwa na mamlaka, vijana wataisha mkoani Arusha.
 
Back
Top Bottom