Ulishawahi kumuona na hirizi mkuu??Mkuu ukweli lazïma usemwe
Anazo,na mkosi mkubwa unakuja,mmoja wa wana WCB atakamatwa na mzigo exit point, hii itawachafua wote au kufanya wakae ndani muda mrefu,hii ni kwa mujibu wa wazee na tafsiri yao ya kudondoka shimoni pale jukwaaniUlishawahi kumuona na hirizi mkuu??
Ramli chonganishiAnazo,na mkosi mkubwa unakuja,mmoja wa wana WCB atakamatwa na mzigo exit point, hii itawachafua wote au kufanya wakae ndani muda mrefu,hii ni kwa mujibu wa wazee na tafsiri yao ya kudondoka shimoni pale jukwaani
Mkuu nijuze kidogo, lini na wapi alidondoka shimoniAnazo,na mkosi mkubwa unakuja,mmoja wa wana WCB atakamatwa na mzigo exit point, hii itawachafua wote au kufanya wakae ndani muda mrefu,hii ni kwa mujibu wa wazee na tafsiri yao ya kudondoka shimoni pale jukwaani
Duuu. Hii ni nomaInasemekana kwamba pale jukwaa lilipoanguka ndo shimo/kaburi,na kilichotoka pale nï kivuli au msukule,ija diamond tayari yuko kuzimu sumbawanga
Kuna kitu naandika na kufuta. Ngoja niache tu kusemaYeah, he is a deadman walking, utaona mfululizo wa majanga kama asipokuwa makini