Kwa mujibu wa maoni ya waganga hapa Sumbawanga, kuanguka kwa Dïamond ni ishara ya kuzikwa nyota kichawi

Kwa mujibu wa maoni ya waganga hapa Sumbawanga, kuanguka kwa Dïamond ni ishara ya kuzikwa nyota kichawi

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Hii ni tafsiri ya waganga maarufu,na inadaiwa hirizi zake zilipasuka au kupotea

Mpaka atokee mtaalam wa kumfufua kwa kuwa kishirikina bado kazikwa japo anajiona mzima
 
Anazo,na mkosi mkubwa unakuja,mmoja wa wana WCB atakamatwa na mzigo exit point, hii itawachafua wote au kufanya wakae ndani muda mrefu,hii ni kwa mujibu wa wazee na tafsiri yao ya kudondoka shimoni pale jukwaani
Mkuu nijuze kidogo, lini na wapi alidondoka shimoni
 
Na kikwete alivyoanguka Jukwaani kipindi kile vp?
 
Back
Top Bottom