Kwa mujibu wa mwanasiasa mmoja wa upinzani (Lissu kama sikosei), CCM walihofia katiba mpya kukataliwa na waazanzibari kwenye kura ya maoni

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Katika mojawapo ya majadilioni ya siku za nyuma kupitia MaraSpace, mwanaaiasa mmoja wa upinzani (Lissu kwa kumbukumbu zangu), alisema sababu kuu iliyopelekea kura ya maoni kutofanyika kupitisha katiba mpya ilikuwa ni hofu ya watawala kuwa katiba pendekezwa ingekataliwa na Wazanzibar hivyo isingepita.

Habari ndio hio.
 
So solution ya sqsa ni ipi kama wazanzibar hawakubaliano na ampemdekezo..kwanini waponzanonwanasema twende na katiba ya walioba wakati uenyeww siyo alfa na omega
 
Kwani wazanzibar hawa kutoa maoni kuhusu katiba mpya kupitia tume ya jaji Warioba Kama walitoa kivipi ndo wawe kikwazo?
 
Machogo jaribuni kutumia akili. Hao watawala mnaowaongelea kamwe hawatakubali katiba mpya kwa sababu katiba iliyopo imewapa nguvu na imewanufaisha. Mnawaulumu Wazanzibari bure tuu.
 
Ipo siku hata kama siyo kizazi chetu wataidai kwa hali yoyote ile na itapatikana tu.
 
Kwani wazanzibar hawa kutoa maoni kuhusu katiba mpya kupitia tume ya jaji Warioba Kama walitoa kivipi ndo wawe kikwazo?
Mapendekezo yao yalichakachachuliwa na maccm kwenye Bunge maalum la Katiba ambalo lilisheheni maccm ili kupitisha agenda zao na ndiyo ilipelekea kuvunjika kwa mchakato huo na kupeleka kuanzishwa kwa Ukawa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kama taifa basi tuna safari ndefu sana kufikia matamanio makubwa ya mabadiliko ya kimfumo
 
Ipo siku hata kama siyo kizazi chetu wataidai kwa hali yoyote ile na itapatikana tu.

mpaka tunafika 2050 serikali ztakua useless dogo, tupo kwenye ulimwengu wa decentralization
 
Back
Top Bottom