Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Kabla sija koment leta Aya na hadhith inayozungumzia hicho kitu ili tusinukuu maneno machache tuKumbe huko peponi kutakuwa na maskini kama huku duniani. Hili sikulijua mie wallah.
Kwahiyo Allah atakuwa na ubaguzi?
View attachment 3525685
Matajiri tutapewa mabikra 72 na mvinyo wa pombeKabla sija koment leta Aya na hadhith inayozungumzia hicho kitu ili tusinukuu maneno machache tu
Masikini anayekusudiwa ni yule aliyepata sehemu ndogo ya mema ya peponi.Kumbe huko peponi kutakuwa na maskini kama huku duniani. Hili sikulijua mie wallah.
Kwahiyo Allah atakuwa na ubaguzi?
View attachment 3525685
Duh,Kumbe huko peponi kutakuwa na maskini kama huku duniani. Hili sikulijua mie wallah.
Kwahiyo Allah atakuwa na ubaguzi?
View attachment 3525685
Hahaha,