PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,867
- 23,482
Kwahio unataka muumini ya anaeswali sala tano maisha yake awe sawa na muumini anaye sali Leo kesho humuoni kesho kutwa muumini kesho yake kimya mpaka Ramadan, Uislam ni discipline
Umeambiwa matajiri wewe unaongea habari za kuswali. Bakhresa ndio atapewa mabikra 72 nyinyi kina Hamorapa inabidi mpange foleni