Kwa Mujibu wa Sheria, Aliyewatuma Wahuni kubaka naye amehusika na Ubakaji

Tatizo ni ushahidi usio na shaka kuwa afande aliwaagiza kufanya hayo. It's all about what you can prove mahakamani.

Ukiagizwa na afande wako jambo la kipumbavu na wewe ukalifanya basi kuna uwezekano mkubwa utaubeba huo mslaba peke yako.

BTW, kama wewe ni askari ukiona afande wako anakuagiza mambo ya kijingajinga basi jitafakari. Ni wazi huyo mtu hakuheshimu hata kidogo na very likely ni kwa sababu ya mwenendo wako.
 
Ushahidi upo mkubwa tu kuna njia nyingi za kuupata ikiwemo simu ,wahusika waliotumwa ,etc afande imemkalia vibaya na sababu ya kubaka pia inamuweka vibaya afande kwenye ushiriki wake wa tukio,
Kaharibu maisha yake kisa mwanaume
 
Wewe inaonesha huijui sheria na wala hutaki kuijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…