Yeah. Hivi mtu anaweza kujiuliza: "Ya nini kuhangaika kiasi hicho ilhali binti kayataka mwenyewe? Kwanini alijipeleka tena kwa hiari yake bila shuruti kudandia mume wa mtu? Amevuna alichokipanda."
Wadau, esp. wale "She" wenye kupenda hako kamchezo kwa madai eti " mbona alinifata yy mwenyewe" waione hiyo vid. na wajifunze Mume wa mtu jihadhari naye - huo ni wizi mbaya sana.
Ni kweli kwamba Polisi wanajukumu la kuwasaka na kuwakamata wahalifu lakini wadau tusisahau kwamba Polisi nao ni watu/binadamu kama binadamu wengine na wanayo mawazo, mtizamo na maoni binafsi.
Hebu pretend ww ni polisi, halafu fikiria na ujiulize na useme hivi "waliotekeleza agizo la Afande wametekeleza kwa weledi na wameshapokea mshiko wao. Je, mtu amekufa? Hapana. Sasa binti kwa UJINGA wake huo anatusumbua Polisi".
Nani alimtuma kwenda kuiba waume za watu? Hakuona wanaume wengine huko mtaani? "Mdomo umeiponza shingo"