Kwa Mujibu wa Sheria, Aliyewatuma Wahuni kubaka naye amehusika na Ubakaji

Tatizo ni ushahidi usio na shaka kuwa afande aliwaagiza kufanya hayo. It's all about what you can prove mahakamani.

Ukiagizwa na afande wako jambo la kipumbavu na wewe ukalifanya basi kuna uwezekano mkubwa utaubeba huo mslaba peke yako.

BTW, kama wewe ni askari ukiona afande wako anakuagiza mambo ya kijingajinga basi jitafakari. Ni wazi huyo mtu hakuheshimu hata kidogo na very likely ni kwa sababu ya mwenendo wako.
Unadhani kuorganize watu zaisi ya wawili wakufanyie kazi ngumu namna hiyo ni kazi rahisi itakayokosa ushahidi?
 
Ile video wanamlazimisha akubali kosa lake ?? Ile ndio imemaliza kesi
Are you okey ?
Au huna habari demu alikuwa ametekwa na kulazimishwa kutii kila anacho ambiwa.
Wengine wanasema eti kwanini achukue mme mtu.
Kwani Sheria ya Ndoa inakataza kuoa zaidi ya mke mmoja ?
Je demu alijuwa kuwa huyo ni mme wa mtu?
Hata hivyo kwani wanawake hata walio olewa hawashawishiwi kulala na wanaume wengine kwa fedha?

Kama jambo hi ni kweli limetokea.
Mwenye hatia ni
Aliyewatuma na waliofanikisha huo unyanyasaji.

Aliyewatuama alitakiwa kutatua hilo tatizo kwa kuongea na mme wake mwenyewe, au baraza la familia, kidini
au usuluhishi wa kiserikali.
Kama ingeshindikana ama avumilie au aombe talaka.

Demu anahitaji kutibiwa na kulipwa fidia kwa unyama aliofanyiwa.
Hivi Wale Haki Za Binadamu Wameongea Chochote, au wanasuburi akosee Mkuu wa Mkoa?
 
View attachment 3062429
Huyo afande wa kike si anaweza akaponea hapo panaposema "he"
who can make a rape? can a woman rape? Can she assist one to make a rape?
In legal writing, masculine language has traditionally been used to refer to people regardless of their gender. Examples include the use of masculine pronouns (he/him) and nouns such as chairman.
 
Thanks
 
Natafuta Ajira una lipi la kusema kuhusu ubakaji wa binti wa yombo?
Haya matukio ya kufanyiana ubaya ubwela huwa sipendi huwa kutoa recommendation kwa kuangalia matokeo huwa napenda kwanza nielewe background yote mpaka likatokea ilo tukio.

Wanawake wana maovu mengi sana nyuma ya pazia ila mambo yakiwa wazi kwenye jamii wanaonekana ni victims.

Huyu binti alicheza rafu gani mpaka akapigwa mtungo?
 
Inasemekana alitembea na mume wa mwanajeshi mwenye nyota begani(afisa), ndo afisa akamtumia Vijana watano inasemekana nao ni wanajeshi, wakambaka na kumlawiti, wakarekodi video wakaituma mitandaoni, watu wamekasirika sana kwasababu wanaona kuna dalili za kuwalinda wanajeshi hao bila kuwachukulia hatua.

Jeshi la polisi linasema limewakamata, tunasubiri taarifa baada ya uchunguzi, zote hizo ni tuhuma..
 
Najua huo mtililiko ila sasa ndio "inasemekana" lakini bado pande zote hazijasikilizwa
 
Hapo hakuna cha kusikilizwa awe alichukua mume hakuchukua hakuna lolote wanaloweza kusema kujustify walichofanya kama sheria ikichukua mkondo wake.
Hao madogo wala ganja mmoja akakulia mtoni kijichi ganja ganja hadi huko jeshini
 
najua sheria inasemaje kuhusu hicho kitendo, lakini kumbuka pia sheria ina mianya ya kumlinda ambae alikua chanzo cha tatizo ndio maana wengine wanaona bora wamalizane kihuni tu mtaani.
 
Hii ndio fikiri kabla ya kutenda hao madogo si ajabu wakala mvua za kutosha. Huyo aliyewatuma analindwa so anaweza ponea chupuchupu.
Sema vyovyote iwavyo kitendo alichofanyiwa yule binti sio kabisa adhabu yoyote watakayopewa inawastahili
 
Watu wanapotea na kutekwa mnaka kimya, watu wanapiga pesa kwenye miradi , mnakaa kimya
 
Atawaruka tu kwamba aliwapa kazi ya kutoa adhabu ila hakuwaambia wabake Wala kulawiti.

Vipi hapo hachomoki akipata wakili mzuri?
 
Back
Top Bottom