jonas amos
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 3,645
- 4,438
Angalia picha za Jana anapokabidhi Mbona paspirt imeonekanaMlivyomuengua Devotta Minja kule Morogoro kuwa hakuleta passport size ndio vile vile atakavyoenguliwa
Dr. hakuweka picha na tume ikampitisha. Devota yeye hakuweka picha na wamemla kichwa. nadhani kuna kitu umejifunza hapaLissu anajifurahisha tu
Angalia vizur fomu ya rais inaonekana kabisa na picha zake vipi kijana wanguMlivyomuengua Devotta Minja kule Morogoro kuwa hakuleta passport size ndio vile vile atakavyoenguliwa
Hakuna sheria hiyo mzee; nadhani unaiota iwepo tu. Sheria zenyewe ni hizi hapaKwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja.
Sasa leo Mhe. Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa kuambatanisha passport size kwenye form yake pia wadhamini wake kuhakikiwa na wasimamizi wasaidizi badala ya TUME yenyewe zaidi alihakikiwa tarehe ambayo haipo kwenye ratiba.
Battle to battle.
Passport ta rais ileeeee na makamu wakeMambo mengine ya kijinga.unamuengua mtu eti hakuleta passport? this is stupid mambo mengine tunahitaji kutumia busara na siyo kukomoana!! Kama NEC hawawezi wajiuzulu mara moja.
Eti nini?? 😲😲Kikubwa Magufuli akajitete, la sivyo tume wamuengue Mara moja
kwani Rais yuko juu ya sheria? sheria ndio inataka hivyo. wakati mwingine usiwe unakurupuka kujibu kitu usichojua
Naomba uweke na sharia inayosema au kuelekeza hivyokama alivyofanya mleta madaHakuna kitu kama hicho ! Ukishaweka pingamizi unasubiri majibu basi....
Hakuna sheria hiyo mzee; nadhani unaiota iwepo tu. Sheria zenyewe ni hizi hapa
Uchaguzi 2020 - Tume ya Uchaguzi yatupilia mbali mapingamizi ya Tundu Lissu. Magufuli na Lipumba ni wagombea halali
Sema ni kifungu gani cha sheria kinasema hayo unayotangaza? Usambazji wa mambo ya uongo kama haya kwa lengo kusensitize watu wakati mwingine ni kinyume cha sheria za sedition.
Mpaka tume Ione mweka Pingamizi ana Jambo la msingi ndipo itakapomwita aje kujibu.. huwezi kwenda tume ukampinga mgombea kuwa Hana masikio mawili au ana makengeza alafu tume ikuchukulie serious.
Hatuna TUME huru na mahakama zetu siku hizi pia zinapangiwa cha kufanya..vitisho ni vingi..jana nilipoleta Uzi huu watu wa TUME wakalamika kuwa natumia jina la Afisa Uchaguzi so ikabidi nibadilishe kirohoooo safi nisije kumtakia ndugu yangu Max Mello matatizo...Tume ishtakiwe... Kwa upendeleo..
Utaratibu huu unaongelea labda ni wakilingine kwenu. Si wataifa huru ka Tanzania, leo ikihitajika kutangazwa hali ya hatari nchini lazima Rais na amiri heshi Mkuu, JPM angurume.
Ndio rais wako huyo hakuna namnaMagufuli ni kilaza.Ameshindwa kujaza fomu!?A very hopeless material!
Hivi na weye unajiita mama?Mjomba wako ni hopeless sana.Hata ukijidai umebanwa mkojo,he is a very "opulesi" hunchback of a man!Go to hell with your Josee!Ndio rais wako huyo hakuna namna