Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Unaona wazi kwamba sheria haisemi kuwa aliyewekewa pingamizi atakutana na kuongea na aliyemwekea pingamizi, bali inasema kuwa aliyewekewa pingamizi ataarifiwa na tume, na kupewa nafasi ya kujieleza kabla tume haitaoa uamuzi juu ya pingamizi hilo.