Uchaguzi 2020 Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi, aliewekewa pingamizi atajibu hoja mbele ya mweka pingamizi, Lissu na Magufuli uso kwa uso

Unaona wazi kwamba sheria haisemi kuwa aliyewekewa pingamizi atakutana na kuongea na aliyemwekea pingamizi, bali inasema kuwa aliyewekewa pingamizi ataarifiwa na tume, na kupewa nafasi ya kujieleza kabla tume haitaoa uamuzi juu ya pingamizi hilo.
Huyu mwanzisha mada unawezakuta naye ni mhitimu wa hivi vyuo vyetu vya leo!
 
Hata wasafisha mitaro mabarabarani na viatu ikibidi. Walinzi wa mipaka yetu wahakikishe baada ya Oktoba Lissu hatoroki nchini. Atasingizia kurudi Ubeligiji kwa maangalizi ya kitabibu na afya.
Ili iweje, hakuna mtu yeyote atamfanya Lisu chochote maana Ni Mtanzania halisi, siyo hawa Wahutu wenye roho za Ibilisi wanaovalishwa kofia ya Utanzania na CCM.
 
Ili iweje, hakuna mtu yeyote atamfanya Lisu chochote maana Ni Mtanzania halisi, siyo hawa Wahutu wenye roho za Ibilisi wanaovalishwa kofia ya Utanzania na CCM.

Afanywe mara ngapi? Muambieni ukweli huyu mtu vinginevyo hamta msaidi. Huwezi kufikia rank ya Lissu aliyo fikia katika jamii halafu ukafikiria utapayuka maneno na kufanya vitendo bila kupima madhara yake kwa hiyo jamii halafu ukatazamwa tu. Haiwezekani.

Hii tabia imekuwa ni ya mazoea kwa baadhi ya viongozi wa cdm. Ziko tabia alizokuja nazo Lissu kutokea Ubeligiji ambazo kesha wa ambukiza baadhi ya viongozi wenzake cdm, pia naona Maalim Sefu kwa kujua ama ni uzee kapokea kibwagizo cha pambio la Lissu cha kuhamasisha maasi kupitia vurugu. Huu ni upuuzi wa hali ya juu.

Kiongozi yeyote aliye apa kulinda amani ya nchi lazima atachukua hatua kuzuia hizo vurugu na uasi unao hamasishwa. Kuliko kuacha roho na maisha ya maelfu na kusena ukweli mamilioni ya unawaongoza kuwa hatarini.

Jinsi ya kuzuia hili lisitokee njia ni nyingi, ila zote haziondoi kigezo cha kumtazama nani mchochezi anaye chochea wenzake kwa sababu gani na tumfanye nini? Hii iko hata kwenye misahafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…