Kwa mujibu wa Standing Orders, DAS ni mtumishi wa Umma

Kwa mujibu wa Standing Orders, DAS ni mtumishi wa Umma

Kwenye angalizo Vyeti Na Cv Ni baadae..
Tunaelekea Pazuri.
Hapa kazi Tu.
 
Au mimi ndio sielewi, pengine the boss yupo sahihi
 
Ccm ni ile ile,wametuona wananchi ni mazoba kiasi kwamba wanaamua wanavyottuu na tupo kimya tuu.DAS,RAS imekua cheo cha kichama sasa wakati ilipaswa waliosoma chuo cha mipango na utawala mzumbe au Dodoma ndiyo wapewe promosheni waliopo makazini
Ajira zote naona zitafutwa ili makada tu ndiyo wajiriwe. Kitakachofata watendaji wa kata na kijiji nao watateuliwa kutoka juu. Kisha mabalozi wa nyumba kumi. Kama kada utakosa ajira mwaka huu, hutapatatena.
We kijana tulia sasa ulitaka makada wa ccm waliopigania chama kuingia madarakani watoswe? Na bado ofisi zote za serikali mpaka hapo kwenye ofisi yako ya CAG Ma Auditors watakuwa makada wa CCM... We endelea kuzungurusha tu mikono
 
Kwani ccm si ina ofisi kila wilaya na mikoa kwa nini wasiajiliwe huko,jamani ccm inatualibia nchi yani toka nilipoona makonda ameteuliwa kuwa mkuu wa mkoa nikajua fika hapa nchi haina viongozi
 
Sasa waliokuwepo wamekwenda wapi? Kama ni watumishi wa kawaida serikalini?
wanaweza kuwa wamestaafu au kurudishwa kwenye kada zao za awali, kuna watu ni walimu kuna watu ni maafisa utumishi nk, ilimradi tu ni watumishi wa umma
 
Mmeumia sana kwa Mtela kupewa nafasi ya UDAS. Nikuulize swali mleta mada. Kwani Mkuu wa Wilaya ni Mtumishi wa Umma ama siyo?
 
Inaonekana una hoja ya msingi. And i concur with you somehow. But I just hope kwamba nayo hiyo sio hoja ya mwendokasi iliyokuwa motivated na uteuzi wa Mtela Mwampamba!!! Tanzania imeendelea kuwa nchi ya matukio sasa!!!
concur with me ''all-where''
 
wanaweza kuwa wamestaafu au kurudishwa kwenye kada zao za awali, kuna watu ni walimu kuna watu ni maafisa utumishi nk, ilimradi tu ni watumishi wa umma
Dah! Yaani inaelekea unajibu kwa hisia zako tu. huna ujualo hata kidogo
 
Sijakuelewa please
hujaelewa kipi hapo.umeuliza waliokuwa ma-DAS wameenda wapi, nimekujibu kuwa inawezekana wamestaafu, kufariki au wamerejeshwa kwenda kada zao awali.nimekuelewesha kuwa kabla mtumishi wa umma hajateuliwa kuwa DAS anakuwa mwalimu, muhasibu, afisa utumishi etc ect,
 
Labda ungeweka CV ya huyo mtela na kusema hafai au anafaa. Hizo nyingine ni mbwembwe tu
 
Ukitazama kwa jicho la kikada utaona nimeumia sana, ila ukitazama kwa weledi utanielewa.halafu mimi sio jobless
Kwani Makatibu Tawala wa Wilaya wanateuliwa ama wanaajiriwa? Ukifanikiwa kujibu hilo nafunga mjadala
 
Labda ungeweka CV ya huyo mtela na kusema hafai au anafaa. Hizo nyingine ni mbwembwe tu
Mkuu, hawa jamaa wanaumia sana. Mtela Mwampamba alikimbia kwenye lichama lao akaja CCM pamoja na Juliana Shonza. Juli amefanikiwa kuwa mbunge wakawa wanamsema sana Mtela. Leo kateuliwa wanajifanya kuokoteza hoja dhaifu kabisa
 
hujaelewa kipi hapo.umeuliza waliokuwa ma-DAS wameenda wapi, nimekujibu kuwa inawezekana wamestaafu au wamerejeshwa kwenda kada zao awali.nimekuelewesha kuwa kabla mtumishi wa umma hajateuliwa kuwa DAS anakuwa mwalimu, muhasibu, afisa utumishi etc ect,
Tangazo limejieleza mkuu. Wapo waliostaafu,waliofariki na waliokosa sifa

Mzee Tupatupa
 
Back
Top Bottom