Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Huo uwezo hawana, namna moja ni kumuondoa mtoa hoja kwenye pichaKwanini wasijibu HOJA za Gwajima?!
Unadhani hao jamaa wana muda wa kupima na kiutafakari maamuzi yao?Hawawez mgusa gwajiboy hao! Wanahangaika tu
Anaewatuma ndo atafanya hyo kazi ya kupima na kutafakari hilo shimo la moto analotaka kuingia.Unadhani hao jamaa wana muda wa kupima na kiutafakari maamuzi yao?
Mdio wanamwinda ili wakamjibu hana kwa hana.Kwanini wasijibu HOJA za Gwajima?!
Matako yako.Mdio wanamwinda ili wakamjibu hana kwa hana.
Si aljbu mwnykt wa chama taifa juzi, au hukumsikia?Kwanini wasijibu HOJA za Gwajima?!
Nijuacho, Gwajima atajiteka au kujitekesha ili apate sympathy ya umma.Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.
Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .
Mbona hueleweki? Wewe si kila SIKU unawasifu hapa mpaka Mimi nakuita mpare mjinga.CCM wameshatuona sisi ni macalio yao
Wewe mbona hueleweki upo upande gani? Au siku usipopewa buku Saba hapo Lumumba unawageuka sisiem wenzio? Wewe sisiem maslahi?CCM wameshatuona sisi ni macalio yao
Upo sahihi.Mimi nakuita mpare mjinga.
Hako kajamaa ka kuitwa Mbaga Jr kanashangaza sana. Kanakuwa kama sigara Kali,Huku anawashwa na Huku anawashwa.Mbona hueleweki? Wewe si kila SIKU unawasifu hapa mpaka Mimi nakuita mpare mjinga.
Una mawazo yakijinga sanaNijuacho, Gwajima atajiteka au kujitekesha ili apate sympathy ya umma.
Kasahau ku switch accountsWewe mbona hueleweki upo upande gani? Au siku usipopewa buku Saba hapo Lumumba unawageuka sisiem wenzio? Wewe sisiem maslahi?
Kila siku humu tunaona michango yako ukienda kinyume na wapenda haki dhidi ya madhalimu sisiem. Now nini kimekupata?