PreGE2025 Kwa mujibu wa taarifa alizopewa Maria Sarungi, ni kwamba watekaji wanamuwinda Askofu Gwajima

PreGE2025 Kwa mujibu wa taarifa alizopewa Maria Sarungi, ni kwamba watekaji wanamuwinda Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwamba rufaa iende kwa waziri wa mambo ya ndani na si mahakamani, hii nchi imerogwa, na ikiendelea hivi one day Tanzania inakuwa nchi ya kijeshi , NI SUALA LA MUDA TU
 
hapo sasa mkuu ndo unataka kupingana na Mungu, kwamba kiumbe chake alichokiumba na kukipa akili za kukitosha unasema kinafanya mipasho na taarabu.

mkuu acha mara moja kupingana na uumbaji wa Mungu.
Kufanya taarab na mipasho ni hulka si maumbile kwamba Mungu kamuumba hivyo,
So comment yangu haijakisoa uumbaji nimekosea tabia mbovu ya Bi kilebwe wa Ginigi
 
Back
Top Bottom