Wewe ndiyo Tapeli kula pesa za walipa kodi kutetea mauaji uonevu maovu utekaji manyanyaso na vitendo vyenu haramu vya kishetani, kumbukumbu huna umejitoa fahamu zote na kusahau kuwa kipindi cha magufuli ndipo Gwajima alimgalagaza kipenzi mteule wa magufuli makonda Bashite na magufuli alijikausha kwa kuwa alijua Gwajima kaonewaNi kweli ila siyo sana kama yako unayemwabudia huyo tapeli gwajima. Kwani muda wote alikuwa wapi na mbona wakati wa Magu aliyemuumba kisiasa aliufyata? Msiandike kama hamna kumbukumbu wala bongo jamanini.
Kwahiyo Maria Ana intelijensia kali kuliko ya jasusi la mbinguni?Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.
Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .
So unadhani gwajiboy is bigger than magu?Kama walimuua Magufuli,kwa Gwajima wasijaribu maana wataumbuka.
Wabunge wengi hawataki utekaji isipokuwa ibirisi Abas Tarimba ponjoro mkorogo ndiyo anapenda mauaji na utakaji viendeleeTungekuwa na Bunge tungesema wapige kura ya kutokuwa na imani nae huenda kachanganyikiwa.
Gwajima si mpumbavu,kishawaelewa si walimletea mwanamke akamrecord. Tatizo Magufuli aliwaamini sana kina Samia .So unadhani gwajiboy is bigger than magu?
Samia had nothing kabisa during maguGwajima si mpumbavu,kishawaelewa si walimletea mwanamke akamrecord. Tatizo Magufuli aliwaamini sana kina Samia .
Wapo Polisiccm wachache wema wenye utu hutoa taarifa za siri kwani na wao hawatakiKwahiyo Maria Ana intelijensia kali kuliko ya jasusi la mbinguni?
makala na chawaccm ni miradi yao ya kupigia pesaYupo kijana mmoja umri 41 anafuga madevu Nywele kanyoa Kama mtoto wa shule anatetea ugali wa Maza ake Mzazi.
Huyo ndiye kinara.
Screenshot hii reply usiijibu.
Polisiccm waaminifuKapewa taarifa na nani?
Gusa gwajima muone, Afande Haqwadhi na wenzako mtarudi zanzibar usiku usikuTaarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.
Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .
Huyu Anayetoa taarifa ndio mtekaji mwenyewe,kwa nini asimtaje aliyempa taarifa.Albadiri haikopeshiTaarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.
Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .
Huu ndio ukweliNijuacho, Gwajima atajiteka au kujitekesha ili apate sympathy ya umma.
Hawana hiyo akili. Madaraka yamewalevya.Wakifbnya hivyo wanazidi kujiharibia
Dear wangu umejificha wapi bas jamanB muongo 😹😹😹
hapo sasa mkuu ndo unataka kupingana na Mungu, kwamba kiumbe chake alichokiumba na kukipa akili za kukitosha unasema kinafanya mipasho na taarabu.Kwani yule Bibi Kilembwe wa Ginigi alijibu hoja au alifanya taarab na mipasho ya watu wa Pwani???
Kwani waliotaka kumuua trump ndo hao magaid wanaoteka watu tz?Kama walitaka kumuua Trump sembuse Gwajima? Wakora wana nguvu sana.
Hawana uwezo brother, ila naona pressure upande wao imekuwa kubwa sana kiasi kwamba uongo ndio unaopewa kipaumbeleKwanini wasijibu HOJA za Gwajima?!