PreGE2025 Kwa mujibu wa taarifa alizopewa Maria Sarungi, ni kwamba watekaji wanamuwinda Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe una hadhi Gani ya kupewa hoja ? Chawa mfirwa ..unatetea udhalimu, ufisadi na mauaji na utekaji nchini ...Kumah wewe.
kua na heshma ikiwa umeishiwa pweinti, mihemko ni kitu nonsense kabisaa gentleman 🐒
 
Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.

Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .

Sio rahisi. Hawawezi kufanya huo ujinga.. na Gwajima anaweza wadhibiti wakawekwa hadharani.
 
Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.

Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .

Askofu Josephat Gwajima, asiipuuze hii taarifa, achukue tahadhari zote kwa ajili ya usalama wake.
Ccm ni chama cha magenge ya kimafia,
Wana mbinu nyingi
 
Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.

Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .

Pamoja na kwamba taarifa hizo si za kupuuza,
Swali je Maria kabla ya kutekwa Kenya hakupata taarifa kutoka kwenye vyanzo vyake vya kuaminika?
 
bado hamjajibu hoja zake
Hoja zake ili zinibiwe lazima tupate taarifa kuhusu jinsia, tabia na matendo ya watu wote wanaodaiwa kutekwa ili kulinganisha na jinsia, tabia na matendo ya watu ambao hawakutekwa. Hii itatusaidia kujua kwanini wametekwa na nani amewateka. Siamini kama watu wanaotekwa na wasiotekwa inatokea randomly (chance) lazima Kuna pattern fulani. Nijuavyo mimi kazi ya usalama wa taifa ni usalama wa taifa na sio mtu binafsi mmojammoja. Mvunja nchi ni mwananchi na mjenga nchi ni mwananchi pia, huenda miongoni mwao wamo wavunja nchi, watembea na wake za watu, propaganda, waliodhulumiana mali, wanaogombea vyeo na nafasi za kugombea na waliopotea wenyewe(wametoka, vichaa, waliojificha). Utafiti kunahitajika.
 
This is an actual bullshit man, subabu za kutekwa kwao unazipataje katika mazingira hayo?
Mostly wanakuwa politicaly involved , na hiyo ndio pattern iliyopo

But then je huo ndio utaratibu wa nchi?
Utaratibu wa jamii ya kitanzania?

Unasema ni kazi ya usalama wa taifa? How do you know?
Kuna vyombo vya sheria, mahakama and etc? Why hawapelekwi huko wafunguliwe kesi?

Hizi ni barbaic actions na zina deserve barbaic response
 
Sasa mtu anahoji kwanini kifo kimoja tu (cha Ally Kibao) ndo kiwe na amsha amsha unadhani atakuwa na hoja au majibu zaidi ya kuwaondoa wauliza maswali?
Alisema ana idadi ya watu 82
 
Alisema ana idadi ya watu 82
Kifo hata kimoja kikitokea kinapaswa kusimamisha muendelezo wa mambo mengine yote yaliyotangua kabla ya kifo hicho kutokea. Nadhani ndivyo serikali inavyofanya. Si tuliona wote wakijikusanya wakaenda Chato?? Sasa kwanini Bi Chura akione kifo cha Ally Kibao kivingine?
 
Wanamteka tuu ndugu yangu hawajawahi kushindwa
Walishindwa kumuua Lisu na yule bonge kule kimara alipiga kelele wakashindwa, huwa wanashindwa pia Gwajima ana mungu wake huku wapenda haku Duniani kote wakimlinda kwa Dua sanjari na mzimu wa magufuli
 
Back
Top Bottom