Labda hata wewe ndio miongoni mwa hao watekaji na mkishateka mnasema amejiteka mwenyewe na mifano ipo mingi tu.Nijuacho, Gwajima atajiteka au kujitekesha ili apate sympathy ya umma.
Takataka kabisa.
Labda hata wewe ndio miongoni mwa hao watekaji na mkishateka mnasema amejiteka mwenyewe na mifano ipo mingi tu.Nijuacho, Gwajima atajiteka au kujitekesha ili apate sympathy ya umma.
Labda wewe ni miongoni mwa hao watekaji maanake wengine lazima tunao humu humu.upo sahihi
gwajima ni tapeli wa kisiasa
kama anawajua awataje, anaogopa nn
na je anatishia ili iweje
gwajima katumwa na haohao ccm
Pengine labda hujui? Endelea kufuatilia taratibu kete zinavyosogezwa kwa ufundiExcuse umetaja. Cia? ana unuhim gani kwa america mpaka cia imlinde?
For CIA kukufuatilia tu lazima uwe na issue muhimu sana , hawafutalii watu hovyo hovyo
I am sorry kukwambia. CIA sio shirika la hovyo waka invest resources zao kufuatilia siasa za bongo.Pengine labda hujui? Endelea kufuatilia taratibu kete zinavyosogezwa kwa ufundi
Sasa mtu anahoji kwanini kifo kimoja tu (cha Ally Kibao) ndo kiwe na amsha amsha unadhani atakuwa na hoja au majibu zaidi ya kuwaondoa wauliza maswali?Kwanini wasijibu HOJA za Gwajima?!
Uzuri keshasema watekaji siyo CCM, hata akitekwa ni sawa tuu.Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.
Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .
Cia wapo sudan, ethiopia, guatemala, nicaragua, kenya pia usione ajabu kuwepo hapa Tz na kujua watu wao ni akina na suala jingine. Endelea kufuatiliaI am sorry kukwambia. CIA sio shirika la hovyo waka invest resources zao kufuatilia siasa za bongo.
For the to do that lazima utakuwa na dhamani sana kwa taifa la america na uchumi wao
Waache ku deal na russia,china , super power wenzao ,wa deal na bongo politics?
Mpare gani mjinga namna hii, atuondolee ujinga hapa.Mbona hueleweki? Wewe si kila SIKU unawasifu hapa mpaka Mimi nakuita mpare mjinga.
Najua wapo kila mahali, na wanasikiliza kila mahali. Only wana pay attention eneo wenye manufaa nalo zaidi.Cia wapo sudan, ethiopia, guatemala, nicaragua, kenya pia usione ajabu kuwepo hapa Tz na kujua watu wao ni akina na suala jingine. Endelea kufuatilia
Nachoweza kushauri kwa sasa serikali kubadilikaNadhani serikali ianze upya usajili wa makanisa na misikiti ili tuchunje ipi ipate vibali. Tuzibe nyufa mapemaaa kabla makundi hayajakiwa makubwa kama ya NRA, March 23, alshabab, Al-qaida, Boko Haram, interahamwe
Lbda mama Kitambaa chekundu👌 akamteke yy mwenyewe👿Labda wampe kesi mbaya lakin kumteka hawawezi jamaa anatembeaga na mabaunsa kama sitini hivi
******* nyinyi. .ni malofa pekee ndio huamini malofa wenzao gentleman 🐒
hiyo ni useless kwenye mjadala gentleman 🐒******* nyinyi. .
******* nyinyi ...hiyo ni useless kwenye mjadala gentleman 🐒
wadau wa JF wangependa kuona hoja za mana kwenye majadiliano na sio nonsense kama hizo gentleman 🐒******* nyinyi ...
Wewe una hadhi Gani ya kupewa hoja ? Chawa mfirwa ..unatetea udhalimu, ufisadi na mauaji na utekaji nchini ...Kumah wewe.wadau wa JF wangependa kuona hoja za mana kwenye majadiliano na sio nonsense kama hizo gentleman 🐒