PreGE2025 Kwa mujibu wa taarifa alizopewa Maria Sarungi, ni kwamba watekaji wanamuwinda Askofu Gwajima

PreGE2025 Kwa mujibu wa taarifa alizopewa Maria Sarungi, ni kwamba watekaji wanamuwinda Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Soma uzuri kabla ya kupayuka bila kufikiri. Mbona Gwajima na anayemtuhumu lao moja au hujui haya ni machezo kuelekea uchaguzi?
Hakuna mchezo hapo! Issue serous ya mauaji na utekaji wa watu iwe issue ya kuhamisha ajenda kweli? Hakuna mtu anamtaka huyu Mama yenu hata CCM hawamtaki sema wanajua wakisema kuna kisanga! Pambaneni na Gwajima!
 
1: Mm ni mmojawapo wa wale ambao sijauamini huu mchongo wa Gwajima.

2: Inshu yake imekuja kwa kuchelewa sana.

3: Kwanini wakati huu? Miezi kadhaa kuelekea uchaguzi mkuu. Ni kweli tumesahau propaganda za hawa jamaa?

4: Ziko agenda muhimu sana zilizokuwa zinaendelea kabla ya hili jambo, lakini cha ajabu, tumeacha kuimba wimbo wetu na sasa tunampambania Gwajima🤔

5: Hivi tukiwaacha waparurane wao kwa wao mpaka watakapoishia, sisi tutapungukiwa nini?

6: Sikuona sana wanashadadia majibizano ya G55 na Chadema, bali waligusia kwa mbali huku wakiendelea na agenda zao.

7: Hawa ni mabingwa wa kuandaa mambo, tena kupitia watu tusiotarajia ila tunaowaamini. Tukizolewa na upepo mpaka tuje turejee huwa wameshapitisha mambo yao au wameshatuchelewesha kwa baadhi ya mambo yetu muhimu cause tuliacha yetu tukafata yao😀

8: Kwani, Gwajima kama Askofu, kwanini anatishia kusema ukweli kwa kuwataja watekaji na badala yake anarefusha mambo? Nimemtaja kama Askofu kwa cheo chake ambacho kinamtaka Daima kusema kweli, maana kuusema ukweli ndani ya chama sio rahisi. (Yohane aliusema ukweli mbele ya Herode na ukweli huo ukamgharimu maisha yake) Askofu wetu Gwajima hawezi kuifia kweli anayoihubiri kanisani?

9: Watekaji amewajua hivi karibuni? Alikuwa wapi kukemea utekaji tangu habari za utekaji zilipoanza kusikika na kushamili kwa kasi?

10: Ameona hakuna uwezekano wa kurudi Bungeni hivyo kaona atishie nyau ili wamrudishe kwenye mchakato? Yeye anajijua hakuwa wao, nao wanamjua hakuwa mtu wao (hata juzi wamemtaja kutomtambua). Nawasihi hata Chauma wasimpokee.

upo sahihi
gwajima ni tapeli wa kisiasa

kama anawajua awataje, anaogopa nn
na je anatishia ili iweje
gwajima katumwa na haohao ccm
 
Dawa yake ni kutembea na walinzi waliobeba Glocks.
Unafikiri hana cia watch closely pengine na satelite inamfata kila apitapo tunasubiri watu wajiweke uchi.

We zile sura alizokuwa nazo wkt wa press ya kwanza unazionaje? Unazifahamu?
 
1: Mm ni mmojawapo wa wale ambao sijauamini huu mchongo wa Gwajima.

2: Inshu yake imekuja kwa kuchelewa sana.

3: Kwanini wakati huu? Miezi kadhaa kuelekea uchaguzi mkuu. Ni kweli tumesahau propaganda za hawa jamaa?

4: Ziko agenda muhimu sana zilizokuwa zinaendelea kabla ya hili jambo, lakini cha ajabu, tumeacha kuimba wimbo wetu na sasa tunampambania Gwajima🤔

5: Hivi tukiwaacha waparurane wao kwa wao mpaka watakapoishia, sisi tutapungukiwa nini?

6: Sikuona sana wanashadadia majibizano ya G55 na Chadema, bali waligusia kwa mbali huku wakiendelea na agenda zao.

7: Hawa ni mabingwa wa kuandaa mambo, tena kupitia watu tusiotarajia ila tunaowaamini. Tukizolewa na upepo mpaka tuje turejee huwa wameshapitisha mambo yao au wameshatuchelewesha kwa baadhi ya mambo yetu muhimu cause tuliacha yetu tukafata yao😀

8: Kwani, Gwajima kama Askofu, kwanini anatishia kusema ukweli kwa kuwataja watekaji na badala yake anarefusha mambo? Nimemtaja kama Askofu kwa cheo chake ambacho kinamtaka Daima kusema kweli, maana kuusema ukweli ndani ya chama sio rahisi. (Yohane aliusema ukweli mbele ya Herode na ukweli huo ukamgharimu maisha yake) Askofu wetu Gwajima hawezi kuifia kweli anayoihubiri kanisani?

9: Watekaji amewajua hivi karibuni? Alikuwa wapi kukemea utekaji tangu habari za utekaji zilipoanza kusikika na kushamili kwa kasi?

10: Ameona hakuna uwezekano wa kurudi Bungeni hivyo kaona atishie nyau ili wamrudishe kwenye mchakato? Yeye anajijua hakuwa wao, nao wanamjua hakuwa mtu wao (hata juzi wamemtaja kutomtambua). Nawasihi hata Chauma wasimpokee.
Unadhani ubunge ndio force iliyofanya gwaji azungumze hayo? Kama ni hivyo si angenyamaza basi na kusifia kama ponjoro ili mwakani arudi bungeni.
 
Mbona hilo wala halihitaji upewe taarifa na mtu.
 
Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.

Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .

Ukimgusa Samia, Mchengelwa hakuachi.
Mchengelwa ni kama Bashite wa enzi za Magufuli.
 
Hakuna mchezo hapo! Issue serous ya mauaji na utekaji wa watu iwe issue ya kuhamisha ajenda kweli? Hakuna mtu anamtaka huyu Mama yenu hata CCM hawamtaki sema wanajua wakisema kuna kisanga! Pambaneni na Gwajima!
Hivi ni Rais gani duniani anaeweza kutishiwa na kelele za huyooo huyooo mchinjeee mchinjeee atakufa mwaka huu 2025, nimeoteshwa atakufa? Rais mwenye vyanzo vyote vya taarifa na nguvu zote za Dola?

Kauli kama hizi kwa Rais wa nchi nadhani zinaweza kuwa chanzo kikubwa cha matatizo kwa baadhi ya watu. Rais Magufuli alipoagiza jeshi la polisi liwanyang'anye majambazi silaha zao kabla hawajawanyang'anya askari silaha zao lilikuwa tangazo la vifo la Moja kwa moja kwa wananchi bila kupelekwa mahakamani, lakini wanaharakati akina gwajima walikaa kimya.
 
Mbona hueleweki? Wewe si kila SIKU unawasifu hapa mpaka Mimi nakuita mpare mjinga.
Wapare hawajawahi kutoa manguli wa harakati... hao jamaa ni taka.taka kabisa.... wanaharakati wa maana ni wanyakyusa na wakurya hilo halina ubishani..
 
Wewe mbona hueleweki upo upande gani? Au siku usipopewa buku Saba hapo Lumumba unawageuka sisiem wenzio? Wewe sisiem maslahi?

Kila siku humu tunaona michango yako ukienda kinyume na wapenda haki dhidi ya madhalimu sisiem. Now nini kimekupata?
Huyu ni chawa wa kujitegemea
 
Ukimgusa Samia, Mchengelwa hakuachi.
Mchengelwa ni kama Bashite wa enzi za Magufuli.
Dira ya CCM ni ujamaa na kujitegemea. Kariba yao na Katiba ya Tanzania imenakiliwa (borrow a leaf) kutoka kwenye katiba za China, NKorea na Soviet. Kwani huko China, NKorea na Soviet Kuna demokrasia kiasi Gani? Hii ndivyo ilivyo!!!
 
Hazijibiki!zinajibiwa Kwa kumpoteza! Pasco mayala alionya kuhusu haya yote!!
Shida ni Moja tu, watu kupotea walipotea kwenye awamu zote,, akina Kambona na Ibrahim Babu walikimbia kwa kuhofia kupotea, akina kombe walipotea huko nyuma. Wakosoaji wetu uchwara wanataka kusema na kutuaminisha kuwa Samia ndiye anaepoteza watu. Hiyo ni propaganda yenye malengo tofauti kabisaaa.

Kama wewe hukutekwa jiulize kwanini hukutekwa na aliyetekwa ametekwa kwa nini?
 
Ata mii niliwaza ivyoo
Nadhani serikali ianze upya usajili wa makanisa na misikiti ili tuchunje ipi ipate vibali. Tuzibe nyufa mapemaaa kabla makundi hayajakiwa makubwa kama ya NRA, March 23, alshabab, Al-qaida, Boko Haram, interahamwe
 
Back
Top Bottom