Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 4,051
- 3,620
Kabisa....yamethubutu hata kuvamia Vatican.Unadhani hao jamaa wana muda wa kupima na kiutafakari maamuzi yao?
Kabisa....yamethubutu hata kuvamia Vatican.Unadhani hao jamaa wana muda wa kupima na kiutafakari maamuzi yao?
Yaaani nashindwa kuelewa jambo wanashindwaje kujibu hoja zake!!!??Kwanini wasijibu HOJA za Gwajima?!
Kama walitaka kumuua kitima watashindwa kuwaza kumteka gwajima? Ni kama maahetani wenye kiu ya kumwaga damu muda wote.Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.
Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .
😂😂😂😂😂😂Wewe mbona hueleweki upo upande gani? Au siku usipopewa buku Saba hapo Lumumba unawageuka sisiem wenzio? Wewe sisiem maslahi?
Kila siku humu tunaona michango yako ukienda kinyume na wapenda haki dhidi ya madhalimu sisiem. Now nini kimekupata?
Tatizo huna kumbukumbu, aliibuka 2015 kwa similar issues. Tena kipind cha anko maguKwanini Gwajima anaibuka sasa wakati watu weshapotea kama kweli ana nia njema? Kwanini anaendelea kusema yeye ni mwanachama muaminifu wa chama cha matekaji (CCM)?
Excuse umetaja. Cia? ana unuhim gani kwa america mpaka cia imlinde?Unafikiri hana cia watch closely pengine na satelite inamfata kila apitapo tunasubiri watu wajiweke uchi.
We zile sura alizokuwa nazo wkt wa press ya kwanza unazionaje? Unazifahamu?
bado hamjajibu hoja zakeNadhani serikali ianze upya usajili wa makanisa na misikiti ili tuchunje ipi ipate vibali. Tuzibe nyufa mapemaaa kabla makundi hayajakiwa makubwa kama ya NRA, March 23, alshabab, Al-qaida, Boko Haram, interahamwe
Hii ifanye kuwa Uzi ili ionekane vizuri.JAMIIFORUMS ADMINS
Tafadhali ondoeni prefix ya GE 2025 (UCHAGUZI) kwenye kila mada muhimu, hususan za. utekaji na mauaji.
Sio kila kitu kinahusiana na mwaka wa uchaguzi.
Mnalifanya kama ni tatizo dogo la mpito.
Crisis ya utekaji na mauaji ipo miaka mingi, lakini ilishamiri awamu ya tano na inaendelea⁹.
Utekaji na mauajj ni tatizo la kidemokrasia na kiutawala bora na mbovu usiotaka kukosoana na kushamiri kwa siasa za mashindano. Siasa ambapo zinakuwa zina point ma crisis ya nchi ikiwemo wizi wa mali umma na kodi za wafanyabiashara na wafanyakazi masikini wa kutupwa.
Novemba 2025, mara baada ya uchaguzi, Tanzania haitageuka kuwa French Democracy, na mauaji yakaisha na ukandamizaji na kila kitu. Ni tatizo kubwa kuliko joto la kawaida la uchaguzi.
.
Naomba kuwasilisha ushauri.
CCM bwana dah,hana kwa hana
Gwajima anatembea na walinzi Lukuki... Waende wajioneeTaarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.
Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .
Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.
Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .
Hawataweza kwa jina la Yesu aliye hai. Gwajima analindwa kwa nguvu za Mungu sio kwa nguvu za giza kama CCM wanavyodhani. Wathubutu kumteka wakione cha moto.Taarifa hii ni kwa mujibu wa maelezo ya Maria Sarungi kupitia mtanda wa X siku ya leo ambapo Maria pia ame- post taarifa kutoka chanzo chake anachodai huwa kinampa taarifa za uhakika.
Wadau, habari ndio hiyo kwa ufupi. Kwahiyo wacheni tusubiri muda utaongea. .
Ndio wanazijibu kwa kumteka mkuu. Hoja za CCM hujibiwa kwa kuteka.Kwanini wasijibu HOJA za Gwajima?!
Wajibu hoja kwa akili zipi?Kwanini wasijibu HOJA za Gwajima?!
Kwa kuwa CCM wanajilinda kwa nguvu za giza, wanadhani na Gwajima analindwa kwa nguvu hizo. Wajaribu kumteka waone watakavyosagwa na kukobolewa.Hawawez mgusa gwajiboy hao! Wanahangaika tu