#COVID19 Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona


Nane nane iko wapi? Mbio za mwenge umezisikia ziliko? Hujasikia mochwari kufurika? Mitungi ya oksijeni inayoongelewa unadhani ni kwa ajili ya kuchomelea?



Hadi zikikurejea kichwani ndipo utaelewa kwa hivi sasa yatulize tu.
 

Kama vile haitoshi:

 
Wewe nafikiri unalipwa! Naona haipiti siku lazima ulete utopolo wa corona hapa.
 
Nmekuja hapa chuoni kuchkua cheti na nmekua hapa kwa wiki moja, nmeshuhudia vifo vya maprofesa watatu ndani ya wiki moja, na mmoja kafariki leo asubui. Anasema data za kupika asubir siku wakidondoka ndugu zake ndo ataamini. Ofkoz hali sio nzuri.
Watu wanatamani kukimbia mikataba yao waache kufnya kaz za kuhudumia public,
 

Tunapoteza watu wengi sasa hivi kuliko hata india:

 
Acha uongo wewe.

Kwa mawazo yako haya ni mapambio:


Ni upumbavu uliopitiliza kudhani kuwa watu hawafi kwa sababu tu wewe hujafiwa.
 

Nyie mnaongea vitu msivyovijua ,hadi Zitto ametoa hizo takwimu inamaana amepata taarifa kutoka kwenye hizo sources ,ukienda RITA unapewa hizo taarifa acha ubweha.

Misiba ni mingi sana ,kila sehemu ukipita unakutana na vibao vya kuelekeza msiba ulipo ,mara kwa Eng flani mara kwa MUGANYIZI etc

Facebook taarifa za vifo zimeongezeka! Kwenye whatsapp group ndiyo hatari unastukia tu umeunganishwa kwenye group la michango ya msiba.

Hakuna mtu anayelipwa kwa kupromote chanjo ,kama chanjo wewe unaona haifai ni matzamo wako na kwa wengine wanaoona inafaa nao i mitizamo yao!
 

Yaani ndio akili za wana lumumba ,ukiwaambia watu wanapukutika kwa corona wao wanajibu mbona wewe hujafa?
 
Hii inahusu mtaa wa Missuna, au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…