Chanjo haina tofauti na kikombe cha babu unachanjwa kufa ni pale pale chukua tahadhari ya uvko usife mapema na si kwamba usife
Unamuuliza nani? Kama huamini si ufuatilie mwenyewe! Au nawe toa takwimu zako.Hivi Mkuu hiyo takwimu imafanyika lini? Je wametembelea hospital zote za nchini? Wamejiridhisha kuwa vifo vyote ni vya Uviko -19?
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Bwana yako ZittoUnamuuliza nani? Kama huamini si ufuatilie mwenyewe! Au nawe toa takwimu zako.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hakuna anayepinga kuwa covid-19 ipo, chanjo imeletwa na mpaka sasa ni hiari. Ili wote tuongee lugha moja, mamlaka hazina budi kuja na muongozo unaoeleweka hadi kwa wenzangu wa Nanjilinji kule ambao hawakuwahi kuijua shule.
1. TZ yote, ina jumla ya vifo vingapi kwa siku?
2. Kabla ya corona, vifi vilikuwa vingapi kwa siku?
3. Kabla ya corona, ni magonjwa yapi yaliongoza kuua?
4. Corona imeongeza vifo vingapi kutokea kwenye wastani wa kabla yake?
5. Tunajua chochote kuhusu vifo vingapi vimesababishwa na corona tu na vile ambavyo corona imemalizia kazi ya magonjwa mengine?
6. Hakuna wanafunzi wanaokufa kwa corona?
7. Tuelimishwe, kwanini corona haiwashambulii watoto wadogo?
9. Corona inauwa wale walio na access na mitandao tu?
10. Maeneo gani ya nchi yameathirika zaidi na corona? Sisikii taarifa za kutoka mikoa kama ya Mtwara, Ruvuma, Kigoma, Mara, Lindi, Mbeya, Rukwa, n.k Ni Dar na watu mashuhuri mashuhuri tu.
Mtaani kwetu, vimetokea vifo vitatu kwa tangu corona iingie, vyote ni mwaka huu, vyote ni wanaume walio juu ya umri wa miaka 40, wote walikuwa wagonjwa kabla, Moyo, Figo na Sukari.
Ni ugonjwa wa COVID 19 pekee duniani uliowahi kutangaza vifo vya watu kila siku. Malaria, kansa, shinikizo la damu, vifo wakati wa kujifungua n.k havijawahi kutangazwa ingawa tulikuwa tukizika wapendwa wetu kama kawaida
Hivi ni kweli kwamba China watu hawafi tena?
Za kuambiwa changanya na za kwako.
Unajua tofauti ya kusema na kuuliza? Au alama hii (?) kwenu haina maana yoyote?
View attachment 1886042
Au ni mashindano ya kuonyesha mu watupu kiasi gani vichwani?
By construction, swali lako halikusudii kubaini kama mimi nimeguswa au la, bali linakusudia kupata confirmation whether or not kutokuguswa kwangu ndiko kulikonifanya niseme nilichosema. Uhakika wa kwamba sijaguswa sijui umeupata wapi!
Chunga kauli zako. Youβre chatting with people of all walks of life here. Kufikiria mtu ni mtupu kichwani ilihali hata kumjua humjui ni ujinga mkubwa. Baadhi ya watu unaobishana nao hapa, kama ungejua their true identities, wewe mwenyewe ungejiona haustahili hata kujibizana nao kitu!
Usinitishe jombi. Kwanza ni kinyume cha kanuni za JF hiyo ikiwa ni kwa uchache tu.
Kiswahili nakijua vyema. Maana halisi ya kwetu kuwa baharini. Kama hukijui uliza ufunzwe.
Kiswahili si kisukuma kama kisivyokuwa kichaga wala kingoni!
Habari ndiyo hiyo.
Huyo zitto ni mmoja wa mabalozi wa corona nchini. Tumeingia kwenye mtego tutachezewa na kuchezeshwa hadi wimbi 10 au zaidi. Saa hizi kuna delta tena inasifiwa kila siku kwa ukali. Huko marekani kuna sehemu utafiti umefanyika kati ya watu zaidi ya 200 waliyodaiwa kufa kwa hiyo kitu kumbe kiasi cha 29 hivi.Jambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya.
Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya.
View attachment 1885518
Mambo ya mbuni yametufikisha hapa.
View attachment 1885424
---- extracts tokea kwake Zitto Kabwe.
Kwamba tunapoteza watu si chini ya 2,000/mwezi kwa Corona. Hali hii si ya kufumbiwa macho.
Wanaokufa katika hali hizi zinazoweza kuzuilika ni watu kama wewe na miye.
Kwamba hajawajibika mtu hadi leo kwa hali hii, kwa hakika haikubaliki.
Hunijui, sikujui. Unafanya assumptions ambazo mtu anayetumia akili au busara za kawaida hawezi kuzifanya!
Chanjo imeanza kutolewa lini ?Kwani chanjo si tayari zipo ama wanaokufa wanafumaniwa na virusi huko huko kwenye michanjo
Mtu asife eti Corona jamani hivi wao takwimu wanazitolea wapHuyo zitto ni mmoja wa mabalozi wa corona nchini. Tumeingia kwenye mtego tutachezewa na kuchezeshwa hadi wimbi 10 au zaidi. Saa hizi kuna delta tena inasifiwa kila siku kwa ukali. Huko marekani kuna sehemu utafiti umefanyika kati ya watu zaidi ya 200 waliyodaiwa kufa kwa hiyo kitu kumbe kiasi cha 29 hiv
Huyo zitto ni mmoja wa mabalozi wa corona nchini. Tumeingia kwenye mtego tutachezewa na kuchezeshwa hadi wimbi 10 au zaidi. Saa hizi kuna delta tena inasifiwa kila siku kwa ukali. Huko marekani kuna sehemu utafiti umefanyika kati ya watu zaidi ya 200 waliyodaiwa kufa kwa hiyo kitu kumbe kiasi cha 29 hivi.
Mtu asife eti Corona jamani hivi wao takwimu wanazitolea wap
Aman sana mkuuWewe wa jumamosi wa jumapili alionekana pia ππππ:
View attachment 1886152
Karibu mkuu. Ujisikie uko nyumbani.
Aman sana mkuu
Kuna na wengine wanakuita huku:Sasa semeni Dar watu wanakufa sio Tanzania ! Kingine kuna ndg, jamaa na marafiki kibao wapo huko dar mbona hizo taarifa za misiba hawana ? Ni wewe tu na zito kabwe
Acha kejeri mkuu huu ugonjwa unamaswali mengi sana na mtindo wa maisha yetu je unadhani chanjo ndio suruhisho?