#COVID19 Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

#COVID19 Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

Chanjo haina tofauti na kikombe cha babu unachanjwa kufa ni pale pale chukua tahadhari ya uvko usife mapema na si kwamba usife
Hivi Mkuu hiyo takwimu imafanyika lini? Je wametembelea hospital zote za nchini? Wamejiridhisha kuwa vifo vyote ni vya Uviko -19?

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Unamuuliza nani? Kama huamini si ufuatilie mwenyewe! Au nawe toa takwimu zako.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna anayepinga kuwa covid-19 ipo, chanjo imeletwa na mpaka sasa ni hiari. Ili wote tuongee lugha moja, mamlaka hazina budi kuja na muongozo unaoeleweka hadi kwa wenzangu wa Nanjilinji kule ambao hawakuwahi kuijua shule.

1. TZ yote, ina jumla ya vifo vingapi kwa siku?
2. Kabla ya corona, vifi vilikuwa vingapi kwa siku?
3. Kabla ya corona, ni magonjwa yapi yaliongoza kuua?
4. Corona imeongeza vifo vingapi kutokea kwenye wastani wa kabla yake?
5. Tunajua chochote kuhusu vifo vingapi vimesababishwa na corona tu na vile ambavyo corona imemalizia kazi ya magonjwa mengine?
6. Hakuna wanafunzi wanaokufa kwa corona?
7. Tuelimishwe, kwanini corona haiwashambulii watoto wadogo?
9. Corona inauwa wale walio na access na mitandao tu?
10. Maeneo gani ya nchi yameathirika zaidi na corona? Sisikii taarifa za kutoka mikoa kama ya Mtwara, Ruvuma, Kigoma, Mara, Lindi, Mbeya, Rukwa, n.k Ni Dar na watu mashuhuri mashuhuri tu.

Mtaani kwetu, vimetokea vifo vitatu kwa tangu corona iingie, vyote ni mwaka huu, vyote ni wanaume walio juu ya umri wa miaka 40, wote walikuwa wagonjwa kabla, Moyo, Figo na Sukari.

Ili kujua mwenendo wa vifo vya corona hatuhitaji taarifa za vifo vya magonjwa mengine. Tofauti corona ni maambukizi makuu ya umma (pandemic contagion) yasiyo na tiba wala dawa. Usipochukua hatua za haraka yanaongezeka kwa kasi.

Cha maana ni hospitali kuthibitisha vifo vinavyosababishwa na uwepo wa Covid-19 na kutoa takwimu za mwenendo (trend) ili tuone kwanza, kama vipo au havipo. Pili, kama vinaongezeka, kasi yake au vinapungua. Tatu, hatua zipi zinaonyesha ufanisi mkubwa kupunguza, maambukizi, na vifo.
 
Ni ugonjwa wa COVID 19 pekee duniani uliowahi kutangaza vifo vya watu kila siku. Malaria, kansa, shinikizo la damu, vifo wakati wa kujifungua n.k havijawahi kutangazwa ingawa tulikuwa tukizika wapendwa wetu kama kawaida
Hivi ni kweli kwamba China watu hawafi tena?

Za kuambiwa changanya na za kwako.

Covid-19 ni global pandemic isiyo na dawa wala tiba ya uhakika sana. Ni utaratibu wa kawaida uliokubaliwa kimataifa kutoa takwimu zake kwa vipindi vilivyokubaliwa.

Hata hivyo vifo vingine mamlaka za kitaifa huwajibika kutunza takwimu zake na kuziwasilisha kwenye taasisi za kimataifa zinazojishughulisha na magonjwa hayo kila mwaka. Takwimu zinatakiwa kuwa wazi kwa wote wanaozihitaji kwa shughuli za kitaalamu.

China watu wanakufa na takwimu zinatolewa. Wanaweza kudanganya lakini hawajawahi kudai kuwa Covid-19 imeisha kwao.
 
Unajua tofauti ya kusema na kuuliza? Au alama hii (?) kwenu haina maana yoyote?

View attachment 1886042

Au ni mashindano ya kuonyesha mu watupu kiasi gani vichwani?

By construction, swali lako halikusudii kubaini kama mimi nimeguswa au la, bali linakusudia kupata confirmation whether or not kutokuguswa kwangu ndiko kulikonifanya niseme nilichosema. Uhakika wa kwamba sijaguswa sijui umeupata wapi!

Chunga kauli zako. You’re chatting with people of all walks of life here. Kufikiria mtu ni mtupu kichwani ilihali hata kumjua humjui ni ujinga mkubwa. Baadhi ya watu unaobishana nao hapa, kama ungejua their true identities, wewe mwenyewe ungejiona haustahili hata kujibizana nao kitu!
 
Usinitishe jombi. Kwanza ni kinyume cha kanuni za JF hiyo ikiwa ni kwa uchache tu.

Kiswahili nakijua vyema. Maana halisi ya kwetu kuwa baharini. Kama hukijui uliza ufunzwe.

Kiswahili si kisukuma kama kisivyokuwa kichaga wala kingoni!

Habari ndiyo hiyo.
 
Ni kweli kabisa kuna uviko mtaani lakini dawa kuu mpaka sasa ni ww na familia yako kuchukua tahadhari hii habari ya chanjo ni ww na maamuzi yako na kuhusu vifo wabongo wamezdi aisee mtu akifa tu utasikia corona iyo ina maana magonjwa mengine yapo rikizo
 
Usinitishe jombi. Kwanza ni kinyume cha kanuni za JF hiyo ikiwa ni kwa uchache tu.

Kiswahili nakijua vyema. Maana halisi ya kwetu kuwa baharini. Kama hukijui uliza ufunzwe.

Kiswahili si kisukuma kama kisivyokuwa kichaga wala kingoni!

Habari ndiyo hiyo.

Hunijui, sikujui. Unafanya assumptions ambazo mtu anayetumia akili au busara za kawaida hawezi kuzifanya!
 
Jambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya.

Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya.

View attachment 1885518

Mambo ya mbuni yametufikisha hapa.

View attachment 1885424

---- extracts tokea kwake Zitto Kabwe.

Kwamba tunapoteza watu si chini ya 2,000/mwezi kwa Corona. Hali hii si ya kufumbiwa macho.

Wanaokufa katika hali hizi zinazoweza kuzuilika ni watu kama wewe na miye.

Kwamba hajawajibika mtu hadi leo kwa hali hii, kwa hakika haikubaliki.

Huyo zitto ni mmoja wa mabalozi wa corona nchini. Tumeingia kwenye mtego tutachezewa na kuchezeshwa hadi wimbi 10 au zaidi. Saa hizi kuna delta tena inasifiwa kila siku kwa ukali. Huko marekani kuna sehemu utafiti umefanyika kati ya watu zaidi ya 200 waliyodaiwa kufa kwa hiyo kitu kumbe kiasi cha 29 hivi.
 
Hunijui, sikujui. Unafanya assumptions ambazo mtu anayetumia akili au busara za kawaida hawezi kuzifanya!

Jombi kawaambie hayo ndege.

Sikuhitaji kwa lolote!

Ninakazia: usinitishe.

(In bold uione vizuri).
 
Huyo zitto ni mmoja wa mabalozi wa corona nchini. Tumeingia kwenye mtego tutachezewa na kuchezeshwa hadi wimbi 10 au zaidi. Saa hizi kuna delta tena inasifiwa kila siku kwa ukali. Huko marekani kuna sehemu utafiti umefanyika kati ya watu zaidi ya 200 waliyodaiwa kufa kwa hiyo kitu kumbe kiasi cha 29 hiv
Mtu asife eti Corona jamani hivi wao takwimu wanazitolea wap
 
Huyo zitto ni mmoja wa mabalozi wa corona nchini. Tumeingia kwenye mtego tutachezewa na kuchezeshwa hadi wimbi 10 au zaidi. Saa hizi kuna delta tena inasifiwa kila siku kwa ukali. Huko marekani kuna sehemu utafiti umefanyika kati ya watu zaidi ya 200 waliyodaiwa kufa kwa hiyo kitu kumbe kiasi cha 29 hivi.

Kwanini balozi usiwe wewe? Kwanini Zitto?

Ugonjwa unafamika kwenda kwa mawimbi yaliyopewa herufi za kilatini.

Wimbi huja baada ya jingine. Kwani la 10 lina umaarufu gani basi?
 
Mtu asife eti Corona jamani hivi wao takwimu wanazitolea wap

Wewe wa jumamosi wa jumapili alionekana pia 😂😂😂😂:

IMG_20210809_141956_034.jpg

Karibu mkuu. Ujisikie uko nyumbani.
 
Sasa semeni Dar watu wanakufa sio Tanzania ! Kingine kuna ndg, jamaa na marafiki kibao wapo huko dar mbona hizo taarifa za misiba hawana ? Ni wewe tu na zito kabwe
Kuna na wengine wanakuita huku:

Back
Top Bottom