Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Mkuu, kama ni hivi basi ni kutishana. Kwa hilo moja tu la Mwenge, inatosha kusema vitisho sasa ndo vinavyotumika!Ukitaka kujua kuwa hasingiziwi zingatia:
1. Tofauti ya takwimu za vifo 2019 na 2020.
2. Tambua jitihada za serikali kuficha takwimu za Corona Apr 2020.
3. Zingatia idadi ya misiba uliyoisikia wewe kuhusiana na Corona ndani ya mwezi mmoja.
4. Jiulize "nane nane" inafanyika lini?
5. Mbio za mwenge zimefika wapi?
6. Kumbuka tuko ushetu kwa mazishi bila kusahau:
View attachment 1885941
Ukimaliza tafuta wa kwako wa kusingizia.
Waulize Bahi na Chamwino wameupokea mwenge lini? Wiki iliyopita tu wala si mbali.