#COVID19 Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

#COVID19 Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

Lengo ni kutishana tu na mnajua mnavyonufaika na hii promo.

Watanzania wa leo wala wasingehitaji mikwala yote hii kama vifo vingekuwa vingi vya corona mpaka sehemu za kuzikana zinakosekana!!

Unatishika kwa kusikia sasa China hawafi? Au kuwa sasa hivi India hali ni bora zaidi.

Kuwa Kenya, Uganda na Rwanda hawajapoteza watu kama sisi?

Hatuna la kujifunza hata kuwawajibisha tu waliotufikisha hapa?

IMG_20210809_120013_729.jpg

Nyie si mliotufikisha hapa kweli?
 
Anamsubiri Mungu amvushe huku chui wenye njaa wanakuja nyuma.

Askofu Rashid kayapata misukule mingi ya kumwaga!
Hao misukule wanaishi maisha yao yale yale hakuna kilichobadirika, tatizo liko kwako wewe umepata na chanjo lakini unatembelea rim ni kupepesuka tu!!
 
Hao misukule wanaishi maisha yao yale yale hakuna kilichobadirika, tatizo liko kwako wewe umepata na chanjo lakini unatembelea rim ni kupepesuka tu!!

Rim ndiyo dude gani ki damper wa askofu Rashid wewe?
 
Unatishika kwa kusikia sasa China hawafi? Au kuwa sasa hivi India hali ni bora zaidi.

Kuwa Kenya, Uganda na Rwanda hawajapoteza watu kama sisi?

Hatuna la kujifunza hata kuwawajibisha tu waliotufikisha hapa?

View attachment 1886069

Nyie si mliotufikisha hapa kweli?
Hakuna alie wafikisha hapa anepaswa kuwajibishwa.

Hatua zilizochukuliwa na viongozi ndo hizo na kwa hali ya nchi na uchumi wa watu wake haikuwa sahihi kufata akili zenu wafuasi wa Isike.

Na kwa sababu lengo lenu halijafanikiwa mtakuja na phase 4 ya corona muda si mrefu na kwamba hiyo ndo hatari kuliko zote.
 
Askofu Rashid ni bonge la msanii hadi raha, hivi kwanini hakumbushwi kuhusu ile treni?

Sasa hivi anasema ana risasi moja katunza. Eti anasubiri wataalamu waongee kwanza.

Ujinga mzigo. Ila ngoja yakanyagane kwanza.

Hiiiiii bagosha!
 
Sasa hivi anasema ana risasi moja katunza. Eti anasubiri wataalamu waongee kwanza.

Ujinga mzigo. Ila ngoja yakanyagane kwanza.

Hiiiiii bagosha!
Hahahhahaa kwahio jana aaliongea kama askofu au kama Mbunge au kama nani?
 
Chanjo haina tofauti na kikombe cha babu unachanjwa kufa ni pale pale chukua tahadhari ya uvko usife mapema na si kwamba usife
 
Jambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya.

Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya.

View attachment 1885518

Mambo ya mbuni yametufikisha hapa.

View attachment 1885424

---- extracts tokea kwake Zitto Kabwe.

Kwamba tunapoteza watu si chini ya 2,000/mwezi kwa Corona. Hali hii si ya kufumbiwa macho.

Wanaokufa katika hali hizi zinazoweza kuzuilika ni watu kama wewe na miye.

Kwamba hajawajibika mtu hadi leo kwa hali hii, kwa hakika haikubaliki.

Kwa nchi kama Tanzania tunategemea vifo kama 480,000+/- nchi nzima kwa mwaka
 
Hakuna alie wafikisha hapa anepaswa kuwajibishwa.

Hatua zilizochukuliwa na viongozi ndo hizo na kwa hali ya nchi na uchumi wa watu wake haikuwa sahihi kufata akili zenu wafuasi wa Isike.

Na kwa sababu lengo lenu halijafanikiwa mtakuja na phase 4 ya corona muda si mrefu na kwamba hiyo ndo hatari kuliko zote.

Kwamba hata hawa?

#COVID19 - Corona: Bila Makavu itaondoka na Wengi

hawakuhusika kumtoa babu na Semunge Loliondo, kafara?!

Labda kama utakuwa ni mmoja wa wale wabaya wetu ambao huenda mlikuwa kwenye hili pipa:

IMG_20210806_053407_437.jpg

Nyie lazima tulale nanyi mbere tukiwa hai au wafu.

Habari ndiyo hiyo.
 
Chanjo haina tofauti na kikombe cha babu unachanjwa kufa ni pale pale chukua tahadhari ya uvko usife mapema na si kwamba usife

Tofauti ya kikombe cha babu na togwa la Madagascar, bupiji, NIMRICAF, nyungu mikaratusi nk na huyu bwana hapa:

IMG_20210718_063455_991.jpg

ni kuwa, hamna tofauti 😂😂😂😂!

Hiiiiii bagosha!
 
Kwamba hata hawa?

#COVID19 - Corona: Bila Makavu itaondoka na Wengi

hawakuhusika kumtoa babu na Semunge Loliondo, kafara?!

Labda kama utakuwa ni mmoja wa wale wabaya wetu ambao huenda mlikuwa kwenye hili pipa:

View attachment 1886075

Nyie lazima tulale nanyi mbere tukiwa hai au wafu.

Habari ndiyo hiyo.
Nyie hamna uwezo wa kumtisha mtu yeyote endeleeni kuchezea button tu za simu zenu huku mkijiona wababe ndo nyie.

Nchi ina MADUDE ambayo hayana mna hata wa kujibizina na nyie.
 
Takwimu za kupika ambazo hazi relate na mtaani!!!!

Tunapita makaburini hatuoni hao watu wakizikwa.Kama mmekula hela za watu rudisheni.

Hao ndugu zenu mnajua kabisa wengine wana ma Tb,cancer lakini wakifa mnataka kusema Corona ndo primary source.

Haya pikeni pikeni data zenu huko,wazungu wafurahi mkiona watu hawalewi somo pandeni ndege mkaulize nchi jirani wanawezaje kupika data na kuwatia uoga wananchi wakati huo huo wanakula hela za waZungu kiulaini

Mfuateni mseveni awafundishe kuzika matambala/migomba ili mle hela za wazungu vizuri msisumbue wananchi.
Hiyo kusema mnapita makaburini hamuoni hao watu wanaozikwa ni maneno ya hovyo sana.
Wewe si mkaguzi wa makaburi Tanzania nzima. Hali ya korona inatofautiana sehemu na sehemu. Na hata kwenye mkoa wako ulipo ,siyo kweli kuwa wewe ukiamka asubuhi ni misele makaburini mpaka jioni.

Hii idadi ya vifo imeongezeka sana kwasababu ya maneno kama ya kwako. Kuwa na utu, using'anganie kubisha . Ubishi ule ndio umetufikisha hapa.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hivi Mkuu hiyo takwimu imafanyika lini? Je wametembelea hospital zote za nchini? Wamejiridhisha kuwa vifo vyote ni vya Uviko -19?

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app

Asili ya takwimu iko kwenye mada mkuu:

IMG_20210808_154317_100.jpg

Lini, pia imo kwenye mada.

Kwenye zama hizi za utandawazi kuficha takwimu mbona ni heri ya huyu?

IMG_20210718_063455_991.jpg

Kwani umewasikia wenye nazo wametokea kukanusha? Si waliifukuza Corona kwa maombi ya siku 3? Yule aliyeko Chatto akawavusha?

Imekuwa je tena?
 
Nyie hamna uwezo wa kumtisha mtu yeyote endeleeni kuchezea button tu za simu zenu huku mkijiona wababe ndo nyie.

Nchi ina MADUDE ambayo hayana mna hata wa kujibizina na nyie.

Heri ungesema ina vi damper ungeeleweka vyema zaidi.
 
Back
Top Bottom