NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Mtaa unanuksi huo.Unaishi mtaa gani?
Mtaani kwetu kila siku mjumbe anapita kudai buku mbili za misiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaa unanuksi huo.Unaishi mtaa gani?
Mtaani kwetu kila siku mjumbe anapita kudai buku mbili za misiba
Lengo ni kutishana tu na mnajua mnavyonufaika na hii promo.
Watanzania wa leo wala wasingehitaji mikwala yote hii kama vifo vingekuwa vingi vya corona mpaka sehemu za kuzikana zinakosekana!!
Mtaa unanuksi huo.
Hao misukule wanaishi maisha yao yale yale hakuna kilichobadirika, tatizo liko kwako wewe umepata na chanjo lakini unatembelea rim ni kupepesuka tu!!Anamsubiri Mungu amvushe huku chui wenye njaa wanakuja nyuma.
Askofu Rashid kayapata misukule mingi ya kumwaga!
Njia yake ya kujipatia kipato kwa kisingizio cha watu kufa,kufa kufaana
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Hakuna alie wafikisha hapa anepaswa kuwajibishwa.Unatishika kwa kusikia sasa China hawafi? Au kuwa sasa hivi India hali ni bora zaidi.
Kuwa Kenya, Uganda na Rwanda hawajapoteza watu kama sisi?
Hatuna la kujifunza hata kuwawajibisha tu waliotufikisha hapa?
View attachment 1886069
Nyie si mliotufikisha hapa kweli?
Hivi Mkuu hiyo takwimu imafanyika lini? Je wametembelea hospital zote za nchini? Wamejiridhisha kuwa vifo vyote ni vya Uviko -19?Huko ni kuwacheza shere wafiwa
Askofu Rashid ni bonge la msanii hadi raha, hivi kwanini hakumbushwi kuhusu ile treni?
Hahahhahaa kwahio jana aaliongea kama askofu au kama Mbunge au kama nani?Sasa hivi anasema ana risasi moja katunza. Eti anasubiri wataalamu waongee kwanza.
Ujinga mzigo. Ila ngoja yakanyagane kwanza.
Hiiiiii bagosha!
Kwa nchi kama Tanzania tunategemea vifo kama 480,000+/- nchi nzima kwa mwakaJambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya.
Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya.
View attachment 1885518
Mambo ya mbuni yametufikisha hapa.
View attachment 1885424
---- extracts tokea kwake Zitto Kabwe.
Kwamba tunapoteza watu si chini ya 2,000/mwezi kwa Corona. Hali hii si ya kufumbiwa macho.
Wanaokufa katika hali hizi zinazoweza kuzuilika ni watu kama wewe na miye.
Kwamba hajawajibika mtu hadi leo kwa hali hii, kwa hakika haikubaliki.
Hakuna alie wafikisha hapa anepaswa kuwajibishwa.
Hatua zilizochukuliwa na viongozi ndo hizo na kwa hali ya nchi na uchumi wa watu wake haikuwa sahihi kufata akili zenu wafuasi wa Isike.
Na kwa sababu lengo lenu halijafanikiwa mtakuja na phase 4 ya corona muda si mrefu na kwamba hiyo ndo hatari kuliko zote.
Ninyi nani, mumiani?Kwa nchi kama Tanzania tunategemea vifo kama 480,000+/- nchi nzima kwa mwaka
Hahahhahaa kwahio jana aaliongea kama askofu au kama Mbunge au kama nani?
Chanjo haina tofauti na kikombe cha babu unachanjwa kufa ni pale pale chukua tahadhari ya uvko usife mapema na si kwamba usife
Nyie hamna uwezo wa kumtisha mtu yeyote endeleeni kuchezea button tu za simu zenu huku mkijiona wababe ndo nyie.Kwamba hata hawa?
#COVID19 - Corona: Bila Makavu itaondoka na Wengi
hawakuhusika kumtoa babu na Semunge Loliondo, kafara?!
Labda kama utakuwa ni mmoja wa wale wabaya wetu ambao huenda mlikuwa kwenye hili pipa:
View attachment 1886075
Nyie lazima tulale nanyi mbere tukiwa hai au wafu.
Habari ndiyo hiyo.
Hiyo kusema mnapita makaburini hamuoni hao watu wanaozikwa ni maneno ya hovyo sana.Takwimu za kupika ambazo hazi relate na mtaani!!!!
Tunapita makaburini hatuoni hao watu wakizikwa.Kama mmekula hela za watu rudisheni.
Hao ndugu zenu mnajua kabisa wengine wana ma Tb,cancer lakini wakifa mnataka kusema Corona ndo primary source.
Haya pikeni pikeni data zenu huko,wazungu wafurahi mkiona watu hawalewi somo pandeni ndege mkaulize nchi jirani wanawezaje kupika data na kuwatia uoga wananchi wakati huo huo wanakula hela za waZungu kiulaini
Mfuateni mseveni awafundishe kuzika matambala/migomba ili mle hela za wazungu vizuri msisumbue wananchi.
Hivi Mkuu hiyo takwimu imafanyika lini? Je wametembelea hospital zote za nchini? Wamejiridhisha kuwa vifo vyote ni vya Uviko -19?
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app