Kwa musiojua gharama za matengenezo ya magari ya serikali njooni

Kwa musiojua gharama za matengenezo ya magari ya serikali njooni

View attachment 2901114
Sijaiona picha ya sehemu za nyuma za gari hii. Ikiwa imeharibika hapo tu panapoonekana kwenye picha serikali itatumia zaidi ya milioni 50 kutengeneza gari hii.

Gari itakaguliwa na TEMESA, serikali italipa gharama za ukaguzi, kisha TEMESA watatoa tenda kwenye garage binafsi kama vile KINAI, ADAM MOTORS, CHUNGA, KWADU, n.k maana TEMESA haiwezi kukubali kubeba mzigo huu. Ili pesa ipigwe vizuri inabidi utoe tenda then ukale na uliyempa tenda.
Garage zilizothibitika kukidhi viwango ziko nyingi, ni zaidi ya 20.

Mwenye garage ataweka dau lake na watu wa TEMESA manager, fundi mkuu n.k watataka fungu lao pia.
Kwa ufupi hii ni neema kwa baadhi ya watu.
Hivyo serikali itatumia zaidi ya milioni 50 hapo kulirudisha hili gari katika hali yake.
Ziara ya mwenezi wa chama cha siasa inabeba mpaka watendaji wa umma ambao hawapaswi kuwa wanasiasa.

Hii nchi inahitaji mageuzi makubwa.
 
Ziara ya mwenezi wa chama cha siasa inabeba mpaka watendaji wa umma ambao hawapaswi kuwa wanasiasa.

Hii nchi inahitaji mageuzi makubwa.
Kujibu hoja ya chama tawala kilichowapa utawala
Serikali iliyoko madarakani ni ya CCM .CCM ndio Wenye serikali

Lazima wawasikilize na kujibu hoja za Wenye serikali yao

Hawataki waende sekta binafsi wasikubali kazi yeyote serikalini au cheo Cha kiserikali
 
Umeandika siasa tu.
 
Umeandika siasa tu.
Raisi wa nchi ni mwanasiasa na ni kiongozi wa CCM

Mwenyekiti wa CCM taifa ndie anayeongoza nchi akisaidiana na viongozi wengine Wana CCM akiwemo Makonda nk

Hata Chadema wanamsikiliza mwenyekiti wa CCM taifa Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan
 
Sawa chawa
 
Zitafanyiwa matengenezo kwa gharama kubwa lkn walisababisha ajari hawatazitumia tena, wao wataagiziwa magari mengine mapyaaaaaa.
Tuendelee kulipa kodi watu waendelee kuila nchi, return ya kodi kwa wananchi ni kidogo sana kwakweli.
 
Utasikia ruzuku ya Chadema na nyoko nyoko nyingi huku pesa nyingi za uma zokiteketezwa na kina bashite
 
Hiyo moja tu na sio gari ya bei kubwa hiyo na matengenezo yake rahisi tu bei mdogo tu na Wala haijaumia sana kidogo tu imeumia Hata ofisi ya serikali ya mtaa waweza gharimia matengenezo yake
CCM ni taasisi wanafuata sheria zote za kiserikali kama hujui...CCM kuna ukwasi na yale magari ya bei mbaya huwezi kupeleka kweny garage zako hizi wanaingia chini ya mvungu wa gari ,madogo wanaiba mpaka kitana wakikuta kweny gari.

Lazima wafuate sheria hata kweny manunuzi ili wawe na ufuatiliaji mzuri wa matumizi ya pesa zao.
 
Kujibu hoja ya chama tawala kilichowapa utawala
Serikali iliyoko madarakani ni ya CCM .CCM ndio Wenye serikali

Lazima wawasikilize na kujibu hoja za Wenye serikali yao

Hawataki waende sekta binafsi wasikubali kazi yeyote serikalini au cheo Cha kiserikali
Too low
 
Back
Top Bottom