Kwa musiojua gharama za matengenezo ya magari ya serikali njooni

Kwa musiojua gharama za matengenezo ya magari ya serikali njooni

Na muendelezo wake hiyo gari baada ya matengenezo yenye thamani hiyo itapigwa mnada kwa thamani ya mil.20 na mnunuzi atajifanya mtu baki kumbe ana vinasaba na msafara na mwishowe itanunuliwa cruiser nyingine yenye thamani ya kadirio la chini mil. 120 times cruiser 13 thamani yake ....? Hapo utajua msafara unawatoaje wahusika kiuchumi.
 
Mwenye garage ataweka dau lake na watu wa TEMESA manager, fundi mkuu n.k watataka fungu lao pia.
Kwa ufupi hii ni neema kwa baadhi ya watu.
Hivyo serikali itatumia zaidi ya milioni 50 hapo kulirudisha hili gari katika hali yake
Ndio Namna NDUVINI AUTO GARAGE alivyotajirika Hadi Leo anarusha matangazo take TBC
 
Back
Top Bottom