Kwa musiojua gharama za matengenezo ya magari ya serikali njooni

Ziara ya mwenezi wa chama cha siasa inabeba mpaka watendaji wa umma ambao hawapaswi kuwa wanasiasa.

Hii nchi inahitaji mageuzi makubwa.
 
Ziara ya mwenezi wa chama cha siasa inabeba mpaka watendaji wa umma ambao hawapaswi kuwa wanasiasa.

Hii nchi inahitaji mageuzi makubwa.
Kujibu hoja ya chama tawala kilichowapa utawala
Serikali iliyoko madarakani ni ya CCM .CCM ndio Wenye serikali

Lazima wawasikilize na kujibu hoja za Wenye serikali yao

Hawataki waende sekta binafsi wasikubali kazi yeyote serikalini au cheo Cha kiserikali
 
Umeandika siasa tu.
 
Umeandika siasa tu.
Raisi wa nchi ni mwanasiasa na ni kiongozi wa CCM

Mwenyekiti wa CCM taifa ndie anayeongoza nchi akisaidiana na viongozi wengine Wana CCM akiwemo Makonda nk

Hata Chadema wanamsikiliza mwenyekiti wa CCM taifa Mheshimiwa Raisi Samia Suluhu Hassan
 
Sawa chawa
 
Zitafanyiwa matengenezo kwa gharama kubwa lkn walisababisha ajari hawatazitumia tena, wao wataagiziwa magari mengine mapyaaaaaa.
Tuendelee kulipa kodi watu waendelee kuila nchi, return ya kodi kwa wananchi ni kidogo sana kwakweli.
 
Utasikia ruzuku ya Chadema na nyoko nyoko nyingi huku pesa nyingi za uma zokiteketezwa na kina bashite
 
Hiyo moja tu na sio gari ya bei kubwa hiyo na matengenezo yake rahisi tu bei mdogo tu na Wala haijaumia sana kidogo tu imeumia Hata ofisi ya serikali ya mtaa waweza gharimia matengenezo yake
CCM ni taasisi wanafuata sheria zote za kiserikali kama hujui...CCM kuna ukwasi na yale magari ya bei mbaya huwezi kupeleka kweny garage zako hizi wanaingia chini ya mvungu wa gari ,madogo wanaiba mpaka kitana wakikuta kweny gari.

Lazima wafuate sheria hata kweny manunuzi ili wawe na ufuatiliaji mzuri wa matumizi ya pesa zao.
 
Too low
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…