Panctuality
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 775
- 1,150
Kwa hivyo magari yoote Tanzania nzima yanayopata ajali huripotiwa kwako?Tatizo sio ajali ni magari..Hakuna anayefurahia ajali kwani kuna faida gani.
Hiyo ni taasisi sio kikundi ishu za matengenezo ni tender hutangazwa kwanza tena hadharani...Unataka gari za gharama upelekea uchochoroni?Kwa hivyo magari yoote Tanzania nzima yanayopata ajali huripotiwa kwako?
Kuna muda mnakuwa kama mazezeta yaani......mnahangaika na Mambo yasiiyowahusu kabisa.
DarWee jamaa unazungumizia TEMESA ya mkoa gani ??
Ndio Namna NDUVINI AUTO GARAGE alivyotajirika Hadi Leo anarusha matangazo take TBCMwenye garage ataweka dau lake na watu wa TEMESA manager, fundi mkuu n.k watataka fungu lao pia.
Kwa ufupi hii ni neema kwa baadhi ya watu.
Hivyo serikali itatumia zaidi ya milioni 50 hapo kulirudisha hili gari katika hali yake
Hatari na nusu .Ndio Namna NDUVINI AUTO GARAGE alivyotajirika Hadi Leo anarusha matangazo take TBC