The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
mapato yaliyoonekana ya 2T ni ya mwezi October, sio wastani wa mapato kwa kila mwezi.Sawa tuu Wala Hakuna shida Cha msingi madeni yanalipwa..
Good enough ndani ya huo huo mwaka na nusu mapato ya TRA kwa mwezi yamehama kutoka Til.1.3 Hadi Til.2 kwa Mwezi na TRA imekuwa inavunja rekodi ya makusanyo jumla..
Halikadhalika makusanyo jumla ya serikali yangeongezeka pia so Wala Hakuna shida.
Soma hapa 👇
Sawa tuu Wala Hakuna shida Cha msingi madeni yanalipwa..
Good enough ndani ya huo huo mwaka na nusu mapato ya TRA kwa mwezi yamehama kutoka Til.1.3 Hadi Til.2 kwa Mwezi na TRA imekuwa inavunja rekodi ya makusanyo jumla..
Halikadhalika makusanyo jumla ya serikali yangeongezeka pia so Wala Hakuna shida.
Soma hapa 👇
Ni kwa sababu mikopo mingi umechukuliwa kwa mda mfupi ikiwemo Ile ambayo ilizuiliwa enzi za Jiwe imekuwa disbursed awamu hii so imekuza Deni kwa haraka..Pamoja na hayo deni halijawahi kupungua. Tujiulize kwanini Deni halipungui linapanda kila siku.
Chukua makusanyo ya robo ya kwanza afu gawanya kwa 3 utakuta Ni wastani wa 2T..mapato yaliyoonekana ya 2T ni ya mwezi October, sio wastani wa mapato kwa kila mwezi.
Ni deni gani hilo lililolipwa? Deni linalipwa halafu liongezeke?
Mkuu huo uchumi wako ulisoma wapi? Hivi hata unajua nini maana ya mikopo?Ni kwa sababu mikopo mingi umechukuliwa kwa mda mfupi ikiwemo Ile ambayo ilizuiliwa enzi za Jiwe imekuwa disbursed awamu hii so imekuza Deni kwa haraka..
But natarajia kuanzia next year Deni litaanza kupungua kidogo kidogo kwa Serikali kukopa kidogo na kulipa kingi.
Hivi ilikuwaje kipindi cha Jiwe TRA ikitoaga report kuwa makusanyo ni Tril 1.3, 1.4, au 1.6 watu wakawa wanabisha kuwa jamaa anapika Data! ila sasahv wanasema wamepiga zaidi hatusikii zile story za ZItto kuwa wanaendelea kupika Data!!Sawa tuu Wala Hakuna shida Cha msingi madeni yanalipwa..
Good enough ndani ya huo huo mwaka na nusu mapato ya TRA kwa mwezi yamehama kutoka Til.1.3 Hadi Til.2 kwa Mwezi na TRA imekuwa inavunja rekodi ya makusanyo jumla..
Halikadhalika makusanyo jumla ya serikali yangeongezeka pia so Wala Hakuna shida.
Soma hapa 👇
Ni kwa sababu mikopo mingi umechukuliwa kwa mda mfupi ikiwemo Ile ambayo ilizuiliwa enzi za Jiwe imekuwa disbursed awamu hii so imekuza Deni kwa haraka..
But natarajia kuanzia next year Deni litaanza kupungua kidogo kidogo kwa Serikali kukopa kidogo na kulipa kingi.
Nani kakwambia hizo hela Ni za kulipa deni? Hizo ndo za safari zao na kununua lc300Sawa tuu Wala Hakuna shida Cha msingi madeni yanalipwa..
Good enough ndani ya huo huo mwaka na nusu mapato ya TRA kwa mwezi yamehama kutoka Til.1.3 Hadi Til.2 kwa Mwezi na TRA imekuwa inavunja rekodi ya makusanyo jumla..
Halikadhalika makusanyo jumla ya serikali yangeongezeka pia so Wala Hakuna shida.
Soma hapa 👇
SGR MkopoNa tunakopa tena.
Kiufupi mikopo ni mizuri na inasaidia taifa ila baadhi ya mikopp haitakikani kwa wakat huu maana tutajauza baadhi ya rasmali za taifa